ki kwetu ndio maana yakeNaomba kuuliza (usikosee kuelewa)
Hili jina shonza halikutoholewa kutoka neno "shenzi"
Kuna majibu mawili tu, yaani ndio au hapana.
Yani anahangaika kutwa na CHADEMA utafikiri ndio wanawake wa Songwe anaopaswa kuwawakilisha. Mwisho wake hauko mbali!Kama mnaondoa nyuzi za watu bora muuondoe huu uzi huyu mnambeba sana akae huko ampikie bwana ake
Mods wamefuta nyuzi zangu 3 mpaka nahisi au Juliana Shonza amekuwa mods anafuta tunavyocoment?.Yani anahangaika kutwa na CHADEMA utafikiri ndio wanawake wa Songwe anaopaswa kuwawakilisha. Mwisho wake hauko mbali!
Ulikuwa unaandika nini labda..? Ukiona hivyo ujue Max amechoka kukaa selo kwa ajili yako.Mods wamefuta nyuzi zangu 3 mpaka nahisi au Juliana Shonza amekuwa mods anafuta tunavyocoment?.
Nipende tu kukupongeza maana mara nyingi hua napenda sana mada zako. Pili nakubaliana na wewe kuwa CCM imeshinda kihalali kwa jicho la ki CCM lakini kwa wengine hatuoni kama kweli kuna uhalali wa huo ushindi. Umesema unatumia biblia lakini nina wasiwasi sana kama unaielewa hiyo lugha ya biblia. Katika Biblia kuna sehemu inasema asiye fanya kazi na asili lakini pia katika biblia hiyo hiyo kuna sehemu inasema tusiwe na wasiwasi kama tutakula nini maana tuna thamani kubwa kuliko maua ya kondeni yanayovalishwa na ndege wa angani wanaolishwa. Sasa nakuomba mwana zuoni unifafanulie hili lipi nilifuate. Baada ya kusema hayo nikuulize wewe kama kada wa CCM ni nini kinachowatisha kutuletea katiba mpya? Pili kwani kama hakuna njaa kwanini mnawatafuta watu wanaosema kuna njaa?? Leo utafurahia sana maana umeshika mpini lakini ujue kuwa kesho utashika makali. Lazima mjifunze Yaya Jammeh alikuwa anashangiliwa akidhani anapendwa kumbe watu walimshangilia kwa unafiki na ndiyo ninachokiona kikiendelea sasa Tanzania. Wanafiki mpo wengi mpaka ninyi wanasiasa, nikisema wanasiasa sisemi ninyi wa CCM tu bali hata wa upinzani. Jaribu sana kupitia kitabu cha Karl Marx, kulikua na Empire ninyi kubwa zilibomolewa baada ya kutawala miaka zaidi ya 300 hivyo msijidanganye kuwa hali itaendelea hivi hivi milele........Me sayWengi wameniambia kuwa niache kutumia nukuu za Biblia katika maandiko yangu, lakini hakuna hata mmoja aliyetoa alternatives kuwa nitumie maandiko gani mbadala...kwa hivyo nitaendelea kutumia nukuu za Biblia kwa kuwa ndicho kitabu ninachokiamini na mpaka mtakapofanikiwa kunishawishi kuacha kukiamini na kukitumia.
Biblia inasema "hata ukimtwanga mpumbavu katika kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka"...sio maneno yangu ni maneno ya Kitabu ninachokiamini kuliko vyote. Kristo ambae ni utimilifu wa matumaini amewaita watu "wapumbavu" "viongozi vipofu" n.k amefanya hivyo kwa lengo la kutaka kuwatoa kwenye Giza na kuwaingiza katika Nuru.
Jana niliandika Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni" kuelezea masikitiko yangu na huruma baada ya Heche na Mtatiro kuituhumu NEC na Dola kuwa imedhulumu ushindi wao.
Labda leo nianze kwa pongezi kwa Ujasiri alionao Mtatiro wa kuendelea kuandika facebook kuwa wameporwa ushindi na Dola, maana ni UJASIRI wa kipekee kuendelea kusimamia UJINGA hata baada ya kuoneshwa kuwa umepotoka. Ni sawa ujasiri huu kwa Heche, Lema na Tundu Lissu wanaposimama macho makavu wakisema LOWASSA ndio MUSSA aliyekuwa akisubiriwa kuwavusha wana wa ISRAEL...
Leo nimeamua kuandika kwa msaada wa namba, wajuzi wa mambo wanasema "Numbers don't lie"
MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA DIMANI
Jan 2017; CCM - 4860 {78.74}
Oct 2015; CCM - 4403 {63.9}
Kwa hesabu rahisi sana, ushindi wa CCM umeongezeka sio kwa asilimia tu bali kwa idadi ya kura pia. CCM wameongeza takribani kura 400.
Jan 2017; CUF - 1234
Oct 2015; CUF - 2306
Ukitazama kwa macho ya kawaida kabisa utagundua kuwa kura za CUF zimepungua kwa zaidi ya asilimia 50%.
HII MAANA YAKE NINI..?
Matokeo hayo yanasema kuwa Chama cha Wananchi CUF kimepoteza ushawishi wake kwa wananchi kwa zaidi ya asilimia 50, kwa lugha nyingine zaidi ya nusu ya wanachama/wakereketwa wao waliokuwa wanawaounga mkono uchaguzi uliopita wameacha kufanya hivyo sasa, na kwamba takribani nusu ya wapiga kura wao wameichagua CCM na mgombea wake na nusu wamegoma kupiga kura kabisa.
Kwa Chama cha siasa kupoteza ushawishi na wapiga kura kwa zaidi ya asilimia 50 kwa muda wa mwaka mmoja, sio tu ni anguko bali ni KIAMA kamili, kwa maana kwa trend hii CUF kinamwaka mmoja tu kupoteza nusu iliyobaki, abakie Mtatiro na Lipumba peke yao waendelee kugombea ruzuku na Uenyekiti.
MATOKEO YA UDIWANI:
Summary;
Kwenye siasa yapo maeneo yanatambulika kuwa ni NGOME ya chama fulani cha siasa ama ya mwanasiasa fulani. Dodoma imekuwa ni Ngome ya CCM miaka yote tangu uhuru na Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro) imekuwa si sehemu salama sana kwa CCM tangu vyama vingi, kwa lugha nyingine ni Ngome ya Upinzani kwa miaka mingi.
Kwenye Uchaguzi huu wa marudio mambo yalikuwa kama ifuatavyo:
Matokeo yote hapo juu yanaonyesha kuwa CHADEMA wamezidiwa zaidi ya NUSU ya kura zilizoipa ushindi CCM.ARUSHA
KILIMANJAROKata ya Mateves
CCM 1,322
CHADEMA 854
Kata ya Ngarenanyuki
CCM 1,615
CHADEMA 764
Kata ya Lembeni
CCM 1,668
CHADEMA 637
NB:
Aliyekuwa Diwani wa Mateves CCM alihama na kujiunga CHADEMA tarehe 8/8/2015...hii inatoa picha kuwa nguvu ya CDM ilikuwa kiasi gani hata DIWANI wa CCM akubali kuachia udiwani na kuhamia upinzani.
Kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, mgombea wa CCM Ndg Julius Saing’ore alishinda kwa magin ndogo sana (kura hazikuzidi 100) na kutokana na utata wa ushindi huo mahakama ilimtengua. CCM hawakubadili MGOMBEA ila mgombea yule yule wa chama kile kile ambae alishinda kwa pungufu ya kura 100 leo ameshinda kwa zaidi ya kura 500.
JAMBO LINGINE MUHIMU;-
CCM imechukua takribani Kata mbili kutoka upinzani, KATA ya Tanga ambayo Diwani wake alikuwa ni CHADEMA, lakini kwenye uchaguzi huu matokeo ni kama ifuatavyo:-
Kwa mtu yeyote mwenye akili na anayewaza sawasawa anaweza kuona njia ya anguko kuu la upinzani hapa nchini. Ni Viongozi wachache ambao Bwana Yesu wakati mwingine aliwaita WAPUMBAVU au VIONGOZI VIPOFU ndio wanaweza kuendelea kujidanganya kuwa matokeo haya na trend hii sio kitu kwao.NB:Kata ya Kimwani - Muleba
Kata ya Tanga - Songea ManispaaCCM - 2,559
CDM - 1,866
CHADEMA- 722CCM - 1,867
Mgombea wa CHADEMA na ambaye alishinda udiwani Ndg Ndomba aliamua kujivua Uanachama na kuhamia CCM na kugombea kupitia CCM na ameshinda kwa kishindo kuliko ilivyokuwa uchaguzi uliopita ambapo alishinda kwa pungufu ya kura 300, na sasa kupitia CCM ameshinda kwa kura zaidi ya 1100.
CHAMA CHANGU PENDWA CCM kinaposema kuwa kimeacha SIASA za kubwatuka, wanamaanisha, ndio maana wamemleta Polepole, the man is focused and calm. Hapigi kelele anaongea kwa vituo, taratibu na kwa ufasaha.....Kuongea kwa JAZBA, Munkari, Hasira na kelele nyingi amewaachia TUNDU LISSU na wenzake, wao wanadhani bado wanapambana na NAPE.
Thread hii inawaambia JUU YA KESHO YENU..., mkitaka mnaweza kunishukuru kwa kuwafungua akili na mkitaka mnaweza kuendelea kutukana...!!!
Vyama vya upinzani wanatumia vibaya haki na uhuru wa kutumia jukwa la kisiasa kuwafikia wapiga kura. Hakuna uhuru usiokuwa na limit. Uhuru wako unaishia pua ya mwenzako inapoanzia.Dada Shonza, inawezekana unachosema kina ukweli lakini ni busara kuwa mkweli kuliko kuwa mshabiki. Ninachoona mimi ni kwamba watanzania wengi wameamka kisiasa na wanaona kabisa kwamba hakuna Demokrasia ya kweli kwa sasa. Vyama vya upinzani vimenyimwa haki na uhuru wa kutumia jukwaa lao la kisiasa la kuwafikia wapiga kura wao. Bidhaa zako kama huzitangazi huwezi pata mauzo mazuri.
Safi sana kwa kuonyesha jinsi gani "Numbers don't lie'. Tatizo la wapinzani hakuna wasomi wa sayansi. Ni watu waliokimbia hisabati na kusomea ufundi wa bla bla za maneno. Wamejitahidi kupata mwanasayansi mmoja wa mambo ya usingizi anayeitwa Dr Mashinji wakazani atawasaidia. Ameshindwa na kujiamulia kukaa kimya. Hakika safari ya upinzani bado ni ndefu. Dunia ya sasa ni ya sayansi. Wanahitaji kufanya mabadiliko ya mifumo ya vyama vyao na kuweka wanasayansi wengi ndani ya vyama vyao.Wengi wameniambia kuwa niache kutumia nukuu za Biblia katika maandiko yangu, lakini hakuna hata mmoja aliyetoa alternatives kuwa nitumie maandiko gani mbadala...kwa hivyo nitaendelea kutumia nukuu za Biblia kwa kuwa ndicho kitabu ninachokiamini na mpaka mtakapofanikiwa kunishawishi kuacha kukiamini na kukitumia.
Biblia inasema "hata ukimtwanga mpumbavu katika kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka"...sio maneno yangu ni maneno ya Kitabu ninachokiamini kuliko vyote. Kristo ambae ni utimilifu wa matumaini amewaita watu "wapumbavu" "viongozi vipofu" n.k amefanya hivyo kwa lengo la kutaka kuwatoa kwenye Giza na kuwaingiza katika Nuru.
Jana niliandika Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni" kuelezea masikitiko yangu na huruma baada ya Heche na Mtatiro kuituhumu NEC na Dola kuwa imedhulumu ushindi wao.
Labda leo nianze kwa pongezi kwa Ujasiri alionao Mtatiro wa kuendelea kuandika facebook kuwa wameporwa ushindi na Dola, maana ni UJASIRI wa kipekee kuendelea kusimamia UJINGA hata baada ya kuoneshwa kuwa umepotoka. Ni sawa ujasiri huu kwa Heche, Lema na Tundu Lissu wanaposimama macho makavu wakisema LOWASSA ndio MUSSA aliyekuwa akisubiriwa kuwavusha wana wa ISRAEL...
Leo nimeamua kuandika kwa msaada wa namba, wajuzi wa mambo wanasema "Numbers don't lie"
MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA DIMANI
Jan 2017; CCM - 4860 {78.74}
Oct 2015; CCM - 4403 {63.9}
Kwa hesabu rahisi sana, ushindi wa CCM umeongezeka sio kwa asilimia tu bali kwa idadi ya kura pia. CCM wameongeza takribani kura 400.
Jan 2017; CUF - 1234
Oct 2015; CUF - 2306
Ukitazama kwa macho ya kawaida kabisa utagundua kuwa kura za CUF zimepungua kwa zaidi ya asilimia 50%.
HII MAANA YAKE NINI..?
Matokeo hayo yanasema kuwa Chama cha Wananchi CUF kimepoteza ushawishi wake kwa wananchi kwa zaidi ya asilimia 50, kwa lugha nyingine zaidi ya nusu ya wanachama/wakereketwa wao waliokuwa wanawaounga mkono uchaguzi uliopita wameacha kufanya hivyo sasa, na kwamba takribani nusu ya wapiga kura wao wameichagua CCM na mgombea wake na nusu wamegoma kupiga kura kabisa.
Kwa Chama cha siasa kupoteza ushawishi na wapiga kura kwa zaidi ya asilimia 50 kwa muda wa mwaka mmoja, sio tu ni anguko bali ni KIAMA kamili, kwa maana kwa trend hii CUF kinamwaka mmoja tu kupoteza nusu iliyobaki, abakie Mtatiro na Lipumba peke yao waendelee kugombea ruzuku na Uenyekiti.
MATOKEO YA UDIWANI:
Summary;JAMBO LINGINE MUHIMU;-
Kwenye siasa yapo maeneo yanatambulika kuwa ni NGOME ya chama fulani cha siasa ama ya mwanasiasa fulani. Dodoma imekuwa ni Ngome ya CCM miaka yote tangu uhuru na Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro) imekuwa si sehemu salama sana kwa CCM tangu vyama vingi, kwa lugha nyingine ni Ngome ya Upinzani kwa miaka mingi.
Kwenye Uchaguzi huu wa marudio mambo yalikuwa kama ifuatavyo:
Matokeo yote hapo juu yanaonyesha kuwa CHADEMA wamezidiwa zaidi ya NUSU ya kura zilizoipa ushindi CCM.ARUSHA
KILIMANJAROKata ya Mateves
CCM 1,322
CHADEMA 854
Kata ya Ngarenanyuki
CCM 1,615
CHADEMA 764
Kata ya Lembeni
CCM 1,668
CHADEMA 637
NB:
Aliyekuwa Diwani wa Mateves CCM alihama na kujiunga CHADEMA tarehe 8/8/2015...hii inatoa picha kuwa nguvu ya CDM ilikuwa kiasi gani hata DIWANI wa CCM akubali kuachia udiwani na kuhamia upinzani.
Kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, mgombea wa CCM Ndg Julius Saing’ore alishinda kwa magin ndogo sana (kura hazikuzidi 100) na kutokana na utata wa ushindi huo mahakama ilimtengua. CCM hawakubadili MGOMBEA ila mgombea yule yule wa chama kile kile ambae alishinda kwa pungufu ya kura 100 leo ameshinda kwa zaidi ya kura 500.
CCM imechukua takribani Kata mbili kutoka upinzani, KATA ya Tanga ambayo Diwani wake alikuwa ni CHADEMA, lakini kwenye uchaguzi huu matokeo ni kama ifuatavyo:-
Kwa mtu yeyote mwenye akili na anayewaza sawasawa anaweza kuona njia ya anguko kuu la upinzani hapa nchini. Ni Viongozi wachache ambao Bwana Yesu wakati mwingine aliwaita WAPUMBAVU au VIONGOZI VIPOFU ndio wanaweza kuendelea kujidanganya kuwa matokeo haya na trend hii sio kitu kwao.NB:Kata ya Kimwani - Muleba
Kata ya Tanga - Songea ManispaaCCM - 2,559
CDM - 1,866
CHADEMA- 722CCM - 1,867
Mgombea wa CHADEMA na ambaye alishinda udiwani Ndg Ndomba aliamua kujivua Uanachama na kuhamia CCM na kugombea kupitia CCM na ameshinda kwa kishindo kuliko ilivyokuwa uchaguzi uliopita ambapo alishinda kwa pungufu ya kura 300, na sasa kupitia CCM ameshinda kwa kura zaidi ya 1100.
CHAMA CHANGU PENDWA CCM kinaposema kuwa kimeacha SIASA za kubwatuka, wanamaanisha, ndio maana wamemleta Polepole, the man is focused and calm. Hapigi kelele anaongea kwa vituo, taratibu na kwa ufasaha.....Kuongea kwa JAZBA, Munkari, Hasira na kelele nyingi amewaachia TUNDU LISSU na wenzake, wao wanadhani bado wanapambana na NAPE.
Thread hii inawaambia JUU YA KESHO YENU..., mkitaka mnaweza kunishukuru kwa kuwafungua akili na mkitaka mnaweza kuendelea kutukana...!!!
CCM iache huu utaratibu, mtu anatoka upinzani, na anapewa nafasi Kugombea, ata kanuni za uchaguzi zinataka ukae angalau miaka mitano.. Lakini mtu ata miaka mitatu hana katika Chama unampa nafasi Kugombea.. Utaratibu huu ubaki Chadema huko hukoMgombea wa CHADEMA na ambaye alishinda udiwani Ndg Ndomba aliamua kujivua Uanachama na kuhamia CCM na kugombea kupitia CCM na ameshinda kwa kishindo kuliko ilivyokuwa uchaguzi uliopita ambapo alishinda kwa pungufu ya kura 300, na sasa kupitia CCM ameshinda kwa kura zaidi ya 1100
Hebu nikumbushe tena...huko Zanzibar katika marudio ya uchaguzi, Dr. Shein wa CCM alipata kura ngapi vile?Leo nimeamua kuandika kwa msaada wa namba, wajuzi wa mambo wanasema "Numbers don't lie"
Umeshajitukana vya kutosha, kwa nini mtu apoteze tena muda wake?Thread hii inawaambia JUU YA KESHO YENU..., mkitaka mnaweza kunishukuru kwa kuwafungua akili na mkitaka mnaweza kuendelea kutukana...!!!
Mimi ninaamini kuwa waendeshaji na wasimamizi wa maahindano yoyote huweka vigezo ambavyo vitahakikisha kuwa kila timu/mshindani anawekewa mazingira sawa na mwingine. Hapo ndipo penye haki. Matokeo yote baada ya hapo hayawezi kuleta malalamiko. Tujiulize ni kwwli mazingira ya kisiasa nchini yanatoa fursa sawa kwa wore, kama sivyo wengine wataachaje kulalamika. Nashauri mazingira ya kisoasa yawe huru kwa wote kisha mechi ijayo tione matokeo yatakuwajeEe bhana eee siamini chadema wamepigwa ndani ya KLM? Kweli siku za kufa nyani miti yote huteleza, Duh!
KILIMANJARO
Kata ya Lembeni
CCM 1,668
CHADEMA 637