Wakishindwa watasababisha vurugu nchini

Wakishindwa watasababisha vurugu nchini

Lagossa

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
301
Reaction score
106
Bila kupepesa macho napenda kuwatahadharisha watanzania wenzangu kwa uchunguzi wa kina kabisa.katika bara letu la Afrika vurugu nyingi na vita huanzishwa na vyama tawala vinaposhindwa uchaguzi.

Dalili zote zinaonyesha wazi CCM hawako tayari kuachia madaraka kwa amani hata kama watashindwa kwa kura nyingi.

Ni rahisi kupinga hiki ninachokisema ila ukweli utabaki palepale

Watanzania wanasumbuliwa na mambo makuu 3

1-Unafiki
2-Kuamini uongo
3-Kumchukia yeyote anayesema kweli
 
Msitafute sababu mapema xubirin magoli kwanz oct cz hamchelew kusema rais hatumtambui bt baada ya cku tatu tunawaona ikulu kuomba msaada
 
Bila kupepesa macho napenda kuwatahadharisha watanzania wenzangu kwa uchunguzi wa kina kabisa.katika bara letu la Afrika vurugu nyingi na vita huanzishwa na vyama tawala vinaposhindwa uchaguzi.

Dalili zote zinaonyesha wazi CCM hawako tayari kuachia madaraka kwa amani hata kama watashindwa kwa kura nyingi.

Ni rahisi kupinga hiki ninachokisema ila ukweli utabaki palepale

Watanzania wanasumbuliwa na mambo makuu 3

1-Unafiki
2-Kuamini uongo
3-Kumchukia yeyote anayesema kweli
Mkuu unayosema ni kweli.wakuu wa ccm wengi wanakila sifa ya Kuwa wafungwa,kuachia madaraka maana yake wanaruhusu mkono wa sheria walizozitunga wenyewe tena kwa mbwembwe ninyi na ambazo wamezitumia kwa miaka mingi kutupigia ccm wanyonge uwafikie na wao.hawatakubili kirahisi.Note:Gadafi hakuwa mjinga kufika kwenye mtaro
 
kwa ccm hapana....kuanzisha vurugu hawawezi...

hofu yangu iko juu ya ukawa, hawa ndio nauhakika kabisa kama ikitokea wameshindwa basi lazima vurugu zitokee maana wamewekeza vya kutosha, watu wamesaliti nyazifa zao hazarani na kutupa kadi za ccm hadharani wamehamia ukawa kwa shangwe kabisa hawafu ndio uwaletee habari eti lowasa kashindwa...!!! hakuna atakayeelewa hapo.
 
ni kweli Mkuu maana vyombo vyote vya usalama viko chini ya ukawa na funguo za Maghala ya silaha wanazo ukawa.si umeona Leo ukawa walivyomzuia jk asiende Leo msibani kwa chopa?
 
Usiwatie hofu wananchi waache wafanye uamuzi wanaouona uko sawa
 
Sipendi kusikia watu wanaohubiri juu ya amani badala ya haki. Naangalia mara kwa mara tv na naona viongozi wa dini wakuhubiri amani. Wanashindwa kujua kuwa walikuwa wanatakiwa kuhubiri juu ya HAKI kwani amani ni matokeo ya haki kutendeka na vurugu ni matokeo ya haki kuvurugwa. Ni wakati wa kuhubiri na kusisitiza kuwa haki itendeke, wazi pasi na shaka yoyote ndipo amani itashamiri. Nani atakayekataa matokeo halali ya kura zilizopigwa ki halali na wazi bila uchakachuaji wowote wa matokeo?Tume ya uchaguzi kama watatenda haki kabisa, wataepusha vurugu. Vinginevyo sijui!!
 
kwa ccm hapana....kuanzisha vurugu hawawezi...

hofu yangu iko juu ya ukawa, hawa ndio nauhakika kabisa kama ikitokea wameshindwa basi lazima vurugu zitokee maana wamewekeza vya kutosha, watu wamesaliti nyazifa zao hazarani na kutupa kadi za ccm hadharani wamehamia ukawa kwa shangwe kabisa hawafu ndio uwaletee habari eti lowasa kashindwa...!!! hakuna atakayeelewa hapo.

Ingawa mimi sina chama ila nina mashaka na ulichoandika kwani kinakinzana na kauli za viongozi wa ccm, mfano:

1. Ushindi ni lazima kwa njia yoyote - JK

2. Tutashinda hata ikibidi kwa goli la mkono - Nape

Maana yake ccm hawako tayari kuachia madaraka hata kama wakishindwa kwa njia ya sanduku la kura.

Kama ccm wanaheshimu maamuzi ya waTZ, matokeo ya kura ( provisional results) ya raisi, mbunge na diwani baada ya kuhesabiwa yabandikwe kwenye kituo kura zilikopigwa!
 
kwa hali inavyoonekana ccm wamepanic. na wameamua kutumia vyombo vya dola kuwabakisha madarakani. kwa mtazamo wangu vurugu zitaanzishwa na ccm kwa kupitia vyombo vya dola.
 
Wenyeviti wote ccm wamehamia cdm. Bado mwenyekiti wa ccm taifa peke yako. Sijui anasubiri nn
 
kwa ccm hapana....kuanzisha vurugu hawawezi...

hofu yangu iko juu ya ukawa, hawa ndio nauhakika kabisa kama ikitokea wameshindwa basi lazima vurugu zitokee maana wamewekeza vya kutosha, watu wamesaliti nyazifa zao hazarani na kutupa kadi za ccm hadharani wamehamia ukawa kwa shangwe kabisa hawafu ndio uwaletee habari eti lowasa kashindwa...!!! hakuna atakayeelewa hapo.

Si jambo la kufikirika, UKAWA hawawezi kushinda hata wakishinda
 
Ingawa mimi sina chama ila nina mashaka na ulichoandika kwani kinakinzana na kauli za viongozi wa ccm, mfano:

1. Ushindi ni lazima kwa njia yoyote - JK

2. Tutashinda hata ikibidi kwa goli la mkono - Nape

Maana yake ccm hawako tayari kuachia madaraka hata kama wakishindwa kwa njia ya sanduku la kura.

Kama ccm wanaheshimu maamuzi ya waTZ, matokeo ya kura ( provisional results) ya raisi, mbunge na diwani baada ya kuhesabiwa yabandikwe kwenye kituo kura zilikopigwa!

hizo ni kauli tu wala haziwezi kuwa uhalisia...ni kauli tu za kupeana moyo katika jambo fulani.... ni sawa na makocha wanavyojipamba kwenye mpira kabla ya mechi....mechi ikiisha wamefungwa wananywea.
 
Si jambo la kufikirika, UKAWA hawawezi kushinda hata wakishinda

watu waliishapandikizwa fikra za uibaji kura.... kwa vyovyote vile UKAWA wakishindwa watu watasema ccm wameiba kura, hata kama wameshindwa kihalali.
 
Hizo vurugu zitaanzishwa na nani. JK, Pinda, Magufuli , Mkapa, Mwinyi au nani?

Kama ni JK ujue baada ya uchaguzi ataishia zake Marekani kwenda kula bata. Hao wengine mmmhh
 
Bila kupepesa macho napenda kuwatahadharisha watanzania wenzangu kwa uchunguzi wa kina kabisa.katika bara letu la Afrika vurugu nyingi na vita huanzishwa na vyama tawala vinaposhindwa uchaguzi.

Dalili zote zinaonyesha wazi CCM hawako tayari kuachia madaraka kwa amani hata kama watashindwa kwa kura nyingi.

Ni rahisi kupinga hiki ninachokisema ila ukweli utabaki palepale

Watanzania wanasumbuliwa na mambo makuu 3

1-Unafiki
2-Kuamini uongo
3-Kumchukia yeyote anayesema kweli
Hapa tunatakiwa kutumia ile phrase inayosema, It Begins With Me, mimi nitapiga kura yangu kwa amani, nitailinda kura yangu kwa amani, na nataka kura yangu niliyopiga ihesabiwe na itangazwe kwa amani. Yeyote atakayetaka kuidhulumu kura niliyopiga kwa amani na kuilinda, asitegemee nitakaa nimuangalie tu kwa macho maana amani niliyoionyesha hapo mwanzo atakuwa ameivuruga. Ushauri wangu, wote tupende na tutegemee amani kwa sababu tunaihitaji kwa ajili yetu na vizazi vya kesho. Inapovurugika sio jambo rahisi kuirudisha kamwe. Na kwa watawala, waheshimu sauti za watu pia.
 
kwa ccm hapana....kuanzisha vurugu hawawezi...

hofu yangu iko juu ya ukawa, hawa ndio nauhakika kabisa kama ikitokea wameshindwa basi lazima vurugu zitokee maana wamewekeza vya kutosha, watu wamesaliti nyazifa zao hazarani na kutupa kadi za ccm hadharani wamehamia ukawa kwa shangwe kabisa hawafu ndio uwaletee habari eti lowasa kashindwa...!!! hakuna atakayeelewa hapo.

Hakuna jinsi Ukawa wakashindwa kwa haki. CCM lazima wacheze rafu.
 
watu waliishapandikizwa fikra za uibaji kura.... kwa vyovyote vile UKAWA wakishindwa watu watasema ccm wameiba kura, hata kama wameshindwa kihalali.

Rais anaposema ushindi ni lazima kwa njia yoyote ile anapandikiza fikra gani kwa wananchi wake?
 
Wewe ndie mchochezi, lowasa ashinde nchi gani!! monduli kwa bibiake sawa sio tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom