ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,369
Hakuna jinsi Ukawa wakashindwa kwa haki. CCM lazima wacheze rafu.
vipi nikisema.."Hakuna jinsi ccm wakashindwa kwa haki"... si mtasema watatafuta goli la mkono?
ila kwa ukawa ndio sawa?
hakuna aliyeandikiwa ushindi.