Riskytaker
Senior Member
- Mar 14, 2024
- 170
- 739
Si wamejaa hapo KariakooWakinga nawasikia sikia ukanda wa kusini huko...
Wakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako.Miaka ya hivi karibu I jamii ya wakinga ni kama imeamua kua serious kupambana na umaskini.
Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki
Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yan blah blah kibao.
Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikua zinahisi pesa ni mbaya yaani ukiwa tajirii utasemwa wewe ni fisadi,mchawi na vitu kama hivyo.
Mtu alikua akiwa na uhakika wa kula basi ana relax pasi kuangalia future generations.
Sasa hivi wakinga wanaumoja wa kuinuana kiuchumi hasa kwenye biashara.
Haya maneno nahisi yatawatoa kwenye reli
wachaga walisemwa vibaya sana kuhusu pesa miaka ya nyuma Ila wakawa kama kisiki Cha mpingo hawakujali Wala nini. HADI Leo bado wanasema Ila hawajali chochote wao ni pesa na pombe
Ieleweke dunia ya Leo culture ni moja tu ambayo ni HELA.
BILA HELA UTAISHI KWA MATESO SANA DUNIA YA LEO
UwongoWakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako.
Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stoo na mabox
Ni wapi waliko waganga hao?Wakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako.
Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stoo na mabox
Sharti la kwanza la Wakinga ni ubahili. Sharti la pili ni kusaidiana.Wakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako.
Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stoo na mabox
Wanasema ni weziMbona wachaga hawakuhusishwa na makafara
Haya kila mtu kapewa zawadi yake huyu mwizi huyu wa makafaraWanasema ni wezi
Kama unataka nikupe ushahidi wa maisha yao na mauzauza kwa majina nitaweka hapa. Usishangae ukajikuta na wewe Riskytaker ukawa mmoja wa wanaoishi kishirikinaUwongo
Je bado kuna watu siku hizi wanasema Wachagga wanapenda pesa? Ahaaa!Miaka ya hivi karibu I jamii ya wakinga ni kama imeamua kua serious kupambana na umaskini.
Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki
Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yan blah blah kibao.
Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikua zinahisi pesa ni mbaya yaani ukiwa tajirii utasemwa wewe ni fisadi,mchawi na vitu kama hivyo.
Mtu alikua akiwa na uhakika wa kula basi ana relax pasi kuangalia future generations.
Sasa hivi wakinga wanaumoja wa kuinuana kiuchumi hasa kwenye biashara.
Haya maneno nahisi yatawatoa kwenye reli
wachaga walisemwa vibaya sana kuhusu pesa miaka ya nyuma Ila wakawa kama kisiki Cha mpingo hawakujali Wala nini. HADI Leo bado wanasema Ila hawajali chochote wao ni pesa na pombe
Ieleweke dunia ya Leo culture ni moja tu ambayo ni HELA.
BILA HELA UTAISHI KWA MATESO SANA DUNIA YA LEO
We ni mkinga au mchaga?Miaka ya hivi karibu I jamii ya wakinga ni kama imeamua kua serious kupambana na umaskini.