Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
wachache wenye moyo kama wakoMaisha ni kusaidiana..........
Mie kama ninayo huwa natoa
Life is so beautiful If we help each other
mmmmh kwa hiyo mnatake advantageKoh koh koh.... Mwanaume aliwekwa kumtunza mwanamke
Mi nachokaga kitu kimoja, akiwa peke yake anaishi kwa hela zake ni kibahili balaaa, sasa muoe weeeeee!!! matumizi anafanya kujiachia tu, daaah!!
Maisha ni kusaidiana..........
Mie kama ninayo huwa natoa
Life is so beautiful If we help each other
Mi nachokaga kitu kimoja, akiwa peke yake anaishi kwa hela zake ni kibahili balaaa, sasa muoe weeeeee!!! matumizi anafanya kujiachia tu, daaah!!
Tatizo linaanzia kwa wanaume. Mnajikakamua kwamba mna pesa na mtaweza kumtunza. Sasa akibania hela yake usilalamike. Kuna mambo yanatakiwa kuwekewa utaratibu tangu siku ya kwanza. Mojawapo ni kuhusu kipato na matumizi ya familia. Pesa ya baba na mama ni ya familia, inakaa kwenye POOL, kisha mna orodhesha mahitaji yenu kama familia.