Wakina kaka hii tabia ya kutufananisha na mama zenu mnaona iko poa?

Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.
Hahahahahahahaaaaaaaa
 
Yani ulivoandika tofauti kabisa na mama yangu.
 
Pole sana mweleze taratibu ataelewa punguza hasira. Buchani wote ni nyama za ng' ombe lakini ladha tofauti.
 
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.
Bora huyo anakulinganisha na mama ake, vipi angekulinganisha na x gal wake. Be flexible mama, ndoa ni kozi isiyokuwa na graduation.
 
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.
Itakuwa hujafikia viwango anavyotarajia. Sasa kazi ni kwake kukubali hiyo hali, kila la kheri.
 
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.

Pole ... JF usiamini kila unachoambiwa.. Nitakuja kesho
 
Kulinganiaha na kukosoa waziwazi ndio tatizo, but the truth is kuna wakati unatamani afanye kama maza, ila ndio hivyo hawezi na hana sababu za kufanya kama maza.

Vitu kama overall handling of the family, arrangement ya nyumba, cooking styles ect ni vitu tumeshazoea toka kwa mama zetu, ila sio rahisi kupata copy and paste kwa wake zetu. Binafsi nikikumbuka how mama did smth huwa nafanya tu.
 
Back
Top Bottom