Wakina kaka hii tabia ya kutufananisha na mama zenu mnaona iko poa?

Nawe mwambie mbona hafanani na baba ako kwa mechi ye anapiga moja tu kachoka babe anampiga nne mama cha tano cha niongeza
 
Me stress sina, na namshukuru Mungu huwa ananipiga upofu dhidi ya wanaume wa type yako. They are plenty of good men outside there ambao wanaheshimu maumbile yao na sio kujiendekeza na upuuzi eti wanaume mmeumbwa kuonja onja khaaa, mnaonja chumvi au sukari? Shame. Jisemee wewe na hao wanawake unaokutana nao, usiwasemee wanaume wenye akili njema. Uwe na usiku mwema

Olewa uone chungu yake...jinsi unavyo ongea waonekana kabisa kuwa wewe bado uko katika matarajio ya kutaka kuolewa au maombi ya kupata bora mume. Anyways, it's your choice katika yale unayotaka kuamini. Sitaki nikutie stress bure ukaja kuwa a lesbian wakati ulikuwa na matarajio ya kuoelewa. BTW....nayazungumza haya kwako kwani wanaume hao hao unaowaona wanaheshimu maumbile yao tunakaa nao mitaani na wana nyumba lukuki (ndogo). Endelea kujidanganya tu.
 
ni ukweli usiopingika. wasichana wengi siku hizi hawaijui ndoa. wanadhani ndoa ni kwenda viwanja na raha pekee. hawana siri wala ukikosea hajui kukosoa bali anajua kuponda. wanajiona wako perfect 100%, waulizeni hata mama zenu kipi kimewafanya wadumu kwenye mahusiano na baba zenu. msidhani na wao waliwapendea poch baba zenu maana 75%+ mwanaume akiwa na pochi iliyonona, wadada wanamezea maovu cha mno anatafuta kipozeo.

acha kulalamika fanya mazuri anayokushauri mumeo
 
Olewa uone chungu yake...jinsi unavyo ongea waonekana kabisa kuwa wewe bado uko katika matarajio ya kutaka kuolewa au maombi ya kupata bora mume. Anyways, it's your choice katika yale unayotaka kuamini. Sitaki nikutie stress bure ukaja kuwa a lesbian wakati ulikuwa na matarajio ya kuoelewa. BTW....nayazungumza haya kwako kwani wanaume hao hao unaowaona wanaheshimu maumbile yao tunakaa nao mitaani na wana nyumba lukuki (ndogo). Endelea kujidanganya tu.
Aonavyo mtu nafsi mwake ndivyo alivyo. Ukiona kuwa huwezi kutulia na mkeo, Jisemee tu wewe binafsi na sio wote, me simsemei mtu fulani kuwa katulia coz huwezi jua ya nafsini mwa mtu, ila wapo wanaume ambao wame/wanaikimbia Zinaa kabisa. Misingi yako uliyolelewa nayo sio kila mwanaume ana msingi huo na hata choices mlizoamua kujifanya after growing up ni tofauti. Uliamua kuwa kucheat ni nature yenu na mwingine aliamua kuona kucheat kama ni ubatili tu. Kuna ndoa ambazo uaminifu haujawahi kuwa changamoto wana changamoto zao nyingine tu. Kusema wanaume wanacheat eti kisa sijui ni nature yao, c'mon all is such a very strong word. Anyway stick to what you believe. I'm out.
 
mwambie hana budi kuzoea mambo ya mama wa pili, maana pacha wake hayupo
 
Mama zetu ndo SI units...kama vip nenda likizo kwa mama mkwe ukajifunze mazuri toka kwa mamamkwe ndo uje umfanyie mmeo...hatachomoka...!!
 
Aonavyo mtu nafsi mwake ndivyo alivyo. Ukiona kuwa huwezi kutulia na mkeo, Jisemee tu wewe binafsi na sio wote, me simsemei mtu fulani kuwa katulia coz huwezi jua ya nafsi ni mwa mtu, ila wapo wanaume ambao wame/wanaikimbia Zinaa kabisa. Misingi yako uliyolelewa nayo sio kila mwanaume ana msingi huo na hata choices mlizoamua kujifanya after growing up ni tofauti. Uliamua kuwa kucheat ni nature yenu na mwingine aliamua kuona kucheat kama ni ubatili tu. Kuna ndoa ambazo uaminifu haujawahi kuwa changamoto wana changamoto zao nyingine tu. Kusema wanaume wanacheat eti kisa sijui ni nature yao, c'mon all is such a very strong word. Anyway stick to what you believe. I'm out.
Kuna wanaosema kabisa kuwa na mwanamke mmoja ni dalili ya mapungufu
 
Cc Wanaume Ni Vpenz Sn Vya Kna Mama Waliotuzaa, Hata Madingi Wakiona Hatuwaelewi Hutumia Mama Ze2. Ss Km Anakusifia Kwa Kukulinganisha Na Mamaake Bac Ujue Kakupa Hadhi Ya Juu Sn Ila Km Anakukosoa Atakua Anakosea Maana Mwanaume Aliyefundwa Huwa Anatahadharishwa Kukosoa Kwa Style Hyo. Ila Ukishamsoma Bac Jitahd, Maana Dunia Ya Ss Kukuta Mwanamke Anajua Kupka Hata Mboga Za Majani Ni Nishda.
 
Kuna wanaosema kabisa kuwa na mwanamke mmoja ni dalili ya mapungufu
Haha watu wanamsahau Mungu utadhani wanaishi ushenzini kusiko na Mungu. Ndo hao hao kutwa wamekumbatia ujinga afu mtu huku hata akisema tu hachepuki anaonekana ana mapungufu, ooh sijui hana hela au mvuto. Yani instead mtenda mema kutiwa moyo, sisi ndo tunataka tumvuruge kabisa awe kama sisi
Anyway Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna. Wanajirudigi kwa wake zao hawana hamu, vijuso vimewashuka afu wakifika wanatimuliwa na vizubeda vyao teh
 
Aonavyo mtu nafsi mwake ndivyo alivyo. Ukiona kuwa huwezi kutulia na mkeo, Jisemee tu wewe binafsi na sio wote, me simsemei mtu fulani kuwa katulia coz huwezi jua ya nafsini mwa mtu, ila wapo wanaume ambao wame/wanaikimbia Zinaa kabisa. Misingi yako uliyolelewa nayo sio kila mwanaume ana msingi huo na hata choices mlizoamua kujifanya after growing up ni tofauti. Uliamua kuwa kucheat ni nature yenu na mwingine aliamua kuona kucheat kama ni ubatili tu. Kuna ndoa ambazo uaminifu haujawahi kuwa changamoto wana changamoto zao nyingine tu. Kusema wanaume wanacheat eti kisa sijui ni nature yao, c'mon all is such a very strong word. Anyway stick to what you believe. I'm out.

Siwezi amini hii, labda huyo mwanamme atakuwa kalishwa limbwata.
 
kwangu hakuna mwanamke mwenye Pendo kuzidi Pendo la mama angu. Nampenda mama angu kuliko yeyote chini ya jua
 
mwache azoee tu kukufanisha siku akikuambia kitandani haukatiki kama mama yake ndo atapotambua nyie ni watu wawili tofauti
 
Huyo hana uzoefu na mwanamke mwingine zaidi ya mama yake,,,, nenda nae taratiibuu
 
Back
Top Bottom