Wakina kaka hii tabia ya kutufananisha na mama zenu mnaona iko poa?

Sky Eclat sisi wanaume ndio tulivyo. Mwanaume akishatoka kwa wazazi au walezi wake na kuanza maisha na mwenzi wake huwa na kawaida ya kumchukulia mwenzi wake kama mama yake. anataka kudeka kama anavyodeka kwa mama yake. anataka abembelezwe kama mtoto mdogo kwenye familia.
Mwanaume anaedeka kwa mke wake ana historia yake tofauti na asiyedeka. anaedeka mara nyingi anakuwa kalelewa kama mtoto, yaani kwa kudeka na kusikilizwa kwa kila anachotaka. Njia rahisi ya kuendana na mwanaume kama huyu si kumpikia chakula anachotaka yeye, malalamiko hayataisha. Huyo mchukulie kama mtoto wako wa kumzaa, muoneshe umampenda kuliko hata watoto wake, yeye mpe first priority na jitahidi kuwa nae karibu mda wote, kama yuko mbali usicheze mbali na simu.
 
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.

Imenikumbusha mbali sana kumbe vinatokea watu wengi, chochote ukifanyacho atasema mamaake alifanya vzr zaidi, wanaume wengine banah wanabore sana. Kwani mimi ninavyonyamaza kwa uyafanyayo pasipo kukulinganisha na babaangu inamaana babaangu alikuwa Mpuuzi au mimi ndiye niliyekuwa mpumbavu kwakutokutambua mazuri aliyokuwa akiyafanya mpaka nimeshindwa kumcompere nae inakera sana.
 
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.
Kweli kwanza kila mtu katokea malezi tofauti. Ndio maana maandiko ya wengine yanasema mwanamke ataacha wazazi wake na kuambatana na mkewe na mwanaume halikadhalika. Kuambatana sio kuondoka tu nyumbani (maana wengi wanaoa/kuolewa wakiwa wameshaondoka nyumbani) bali ni kukubali kubadilika kila kitu ulichozoea kwenu uendane na mwenzi wako. Maana hayo mapishi ya mama yako unayoyaona bora kuliko yote duniani baba yako pia yalimtatiza mwanzoni alizoea vikorombwezo vya bibi.
 
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.

Mbona mimi sioni shida hapo, ila ni vyema kutoa sababu za hizo alternatives za housekeeping. Lakini inawezekana pia na wewe (kama sio mtoto wa single mother) utakuwa unatoa reference za baba yako au nyumbani kwenu kwa ujumla. Kwa kifupi, ukichukulia positive inakuwa ni sehemu ya innovation katika kujenga nyumba yenu.

Sasa siku mama mkwe (kama yupo hai) akiwatembelea itakuwaje?
 
Mama zetu ndiyo wanawake wa kwanza kwetu tabia, mionekano ya wanawake tumeanza kuiona kwao.

Na wengine huwa tunaenda mbali kwa kutafuta mke anayefanania na mama japo kiduchu maana tunaamini (atanilea)kuishi vyema.
Yaani umenifanya niwaze mbaaali!! Sasa zile list zako ndio mifano ya mama kweli!!! Umtue mama yetu
 
Mbona mimi sioni shida hapo, ila ni vyema kutoa sababu za hizo alternatives za housekeeping. Lakini inawezekana pia na wewe (kama sio mtoto wa single mother) utakuwa unatoa reference za baba yako au nyumbani kwenu kwa ujumla. Kwa kifupi, ukichukulia positive inakuwa ni sehemu ya innovation katika kujenga nyumba yenu.

Sasa siku mama mkwe (kama yupo hai) akiwatembelea itakuwaje?
Mkuu ni kila unachofanya mwisho anasema atamwambia mama yake anifundishe kupika pilau maana anapika tamu sana. Nilifundishwa kupika kwetu inamaana maisha yetu yote yanafuata nyayo za mama yake?
 
hahahahahaahahhahaah, aiseeee!
Ila utambue kuwa wewe sasa umechukua nafasi ya mama yake. Yawezekana mama yake alimlea kwa miaka kadhaa kabla hajakupata wewe, hebu mdekeze, mbebe, mtunze kama mama yake alivyokuwa anamfanyia tokea akiwa mdogo. hahahaha

Utajitahidi umbebe mgongoni lakini atakuja kukwambia shangazi yake alimsimulia kuwa mamaake alikuwa anapenda kumbeba kifuani huwa hawaridhiki na hawatabiriki pia ni kuwaombea tuu maana hakuna namna.
 
Back
Top Bottom