Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

Nipo dodoma naomba niku pm tukajirushe viwanja
 
Unawaingiza king eeeeh
yaani wewe hujafunga pm????
 
Baba hii ndio tunaita povu la kiwango gani !???
 
Walivokuwa washamba washamba Pm ilikuwa wazi,,


Baada ya kutongozwa na wengine kuliwa na hatimaye na zile screenshoot kuwekwa hapa na baadhi ya mabaharia ndio wakastuka kwamba wameliwa na kuanikwa hadharani, wakaamua kupiga lock,,

Ukiona kafunga PM yameshamkuta ya kumkuta
 
Mkuuu umegusa mioyo ya watu
papuchi imeliwaa vibaya mno na kale kananii kapewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…