Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Uwazi mwingine unaumiza....
jamani kabanga, uwazi unaumizaje tena jamani. usinichekeshe mie bhana.
Uwazi mwingine unaumiza....
Hiyo imewahi nitokea mimi pale xcape one, nilimkuta mshikaji na demu wake nikamsalimia lakini demu hata kuniangalia hakuniangalia, jamaa yake alikua na shida ya hela a miimi nilikua nimeenda pale kumpatia hela hiyo ambayo ilikua ya kumlipia ada ya shule yule demu uk.
Kwa kweli ilibidi nimuambie jamaa kwa sauti kua sina hela mpaka mwezi ujao....
Good girls...keep it up! 80%mpo ivo. wenyew kwa wenyew mnapendana kinafiki...na kwetu pia mnatuonesha mashauzi yenu. Yaan..apo uyo dada aliona kwa fikra zake kuwa boy wake yuko flexh(mkwanja)...mawazo yake yooote ni uchoyo tuuu.(yaani atumie na kama vp amchune). Hata ndugu ni hawa wadada dizaini hii ndo wanawafanyiaga vibweka...asa ndg wa opposite side.Xo, aliwadharau waz wazi mjue, ili kama mlitaka kushare mezaaa...mghaili..mkakae kivyenu...maana mtamharibia bajeti...bull-sheet. TUISSHI KIRROOH XAFI WAPENDWAA! Inapendeza xana. Mkiwa na tabia hizo...mtafanywa ma- Dog. Me sipendiii...RUDISHENI HESHIMA NA UPENDO AMBAO MUNGU AMEWABARIKI.[/QUOTE Kongosho njoo pande hizi kuna mtu anachafua hali ya hewa na mwandiko wa kifesibuku