nemulo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,589
- 441
Yaani huo ni ushamba.com, heshima kwa my bebi hata kama sio bosi, nimchekee bosi inahusu!
Nikikupata wewe najua 100% stress hakuna maishani mwangu.
Yaani huo ni ushamba.com, heshima kwa my bebi hata kama sio bosi, nimchekee bosi inahusu!
alichangamka baada ya kujua jamaa anapesa si ndio dharau hio kabla alidhani sijui ndo wale waomba offer
Nikikupata wewe najua 100% stress hakuna maishani mwangu.
Nilishapatikana siku nyingi, hahahaaaaaa! hapana chezea macho ya my baby boy, now maisha yanaenda tu.
Maaaaaaaskini nemulo jamani, humu kuna foundation ya kuwaunganisha ambao bado hawajapatikana, wahi m-pm muhusika akuunge ila tu usirudi unalia kuwa umekutana na ............
View attachment 215569
Baas tuishie hapo!!! Nipo tyr kusubiri kupata mwingine...Duuuh!!!
aiii jamani we mkaka una post nzuri, nimekupenda bure. naomba unilipie japo ugold member
hahahahaaaaa! pamoja mkuu
mkuu una makavu laivu.. Duuh..
mshenz mmoja hyo
Unakuta unaingia sehemu ya starehe, unamkuta mshkaji wako amekaa na manzi wake, kwa kuwa mna ukaribu unaamua kusogea na kwenda kumsalimia.. Kama kawaida yetu watanzania unamsalimia kwa sauti na kwa kumshika mkono. Sasa baada ya hapo unaamua kumsalimia hivyo hivyo mrembo aliyekaa nae.. Dada anaitikia kwa dharau na kwa sauti ya chini, kwa kuwa umehisi ni shemeji unaamua kumpa na mkono kama heshima.. Demu anaangalia pembeni..
Mshkaji kwa aibu anakutambulisha, e bwana kiongozi huyu ndo shemeji yako anaitwa Sophy.. Na we unaitikia kwa kutikisa kichwa.. Mara jamaa na ye anakutambulisha, bebi huyu anaitwa Johnson ndio boss wangu, hata ile gari niliokwambia ndio muheshimiwa alisema angeniazima twende nayo Njombe, maana haka ketu si unajua na barabara..
Kusikia hivyo mdada anaona aibu, anasema ok shem nashukuru kwa kukufahamu.. kaa tujumuike pamoja.. ila shem we ni mpambanaji sana, bebi amenihadithia kuhusu wewe.. Na mi unipe hata kazi ya kukufagilia ofisi...
Dada amechanganyikiwa kusikia jamaa ndio bosi wa bebi wake na sifa kede kede alizosikia, sasa ndo anajishaua..
Wadada acheni tabia hii.. Ni ujumbe kwa baadhi yenu..
Hii imetokea kweli nikiwa karibu na hao wahusika meza jirani tarehe 01/01/2015..!!!
hahahahaaaaa! siku hizi uwazi na ukweeeee, habari ya kujiuma uma ilipitwa si eti?