Wakina dada hii tabia haifai, mnajidhalilisha.... Muache

Mtu Kama Huyo Ni Kumpuuza Tu, Unaendelea Na Yaliyokuleta!!
 
Sio kudharau. Kwao kafundishwa asichangamkie watu asiowajua.

Alivyopewa intro akawa mchangamfu tu.

alichangamka baada ya kujua jamaa anapesa si ndio dharau hio kabla alidhani sijui ndo wale waomba offer
 
Mmmmmmh........
Good girls...keep it up! 80%mpo ivo. wenyew kwa wenyew mnapendana kinafiki...na kwetu pia mnatuonesha mashauzi yenu. Yaan..apo uyo dada aliona kwa fikra zake kuwa boy wake yuko flexh(mkwanja)...mawazo yake yooote ni uchoyo tuuu.(yaani atumie na kama vp amchune). Hata ndugu ni hawa wadada dizaini hii ndo wanawafanyiaga vibweka...asa ndg wa opposite side.

Xo, aliwadharau waz wazi mjue, ili kama mlitaka kushare mezaaa...mghaili..mkakae kivyenu...maana mtamharibia bajeti...bull-sheet. TUISSHI KIRROOH XAFI WAPENDWAA! Inapendeza xana. Mkiwa na tabia hizo...mtafanywa ma- Dog. Me sipendiii...RUDISHENI HESHIMA NA UPENDO AMBAO MUNGU AMEWABARIKI.

Kweli nimezeeka!!!!
 
Na ukiona mwanamke wa namna huyo ni wale wenye njaa sana na makeup zakuazima...
 
aiii jamani we mkaka una post nzuri, nimekupenda bure. naomba unilipie japo ugold member
 
Good girls...keep it up! 80%mpo ivo. wenyew kwa wenyew mnapendana kinafiki...na kwetu pia mnatuonesha mashauzi yenu. Yaan..apo uyo dada aliona kwa fikra zake kuwa boy wake yuko flexh(mkwanja)...mawazo yake yooote ni uchoyo tuuu.(yaani atumie na kama vp amchune). Hata ndugu ni hawa wadada dizaini hii ndo wanawafanyiaga vibweka...asa ndg wa opposite side.

Xo, aliwadharau waz wazi mjue, ili kama mlitaka kushare mezaaa...mghaili..mkakae kivyenu...maana mtamharibia bajeti...bull-sheet. TUISSHI KIRROOH XAFI WAPENDWAA! Inapendeza xana. Mkiwa na tabia hizo...mtafanywa ma- Dog. Me sipendiii...RUDISHENI HESHIMA NA UPENDO AMBAO MUNGU AMEWABARIKI.

dah.. mkuu nakumbuka shule ya msingi darasa la sita tulifundishwa kupanga herufi zilizo katika mchanganyiko kupata neno lenye maana sahihi mfano MBUROE = UREMBO... sasa hii ID yako APPUCH nikitumia ule ujuzi nilioupata wa kupanga herufi napata neno PAPUCH
 
Kisu kikali lazima kiogopwe kama sio kuheshimiwa. Wanaune tafuteni hela mnunue heshima mjini.
 
Usiwachukulie serious mademu,% kubwa hawajitambui.
 
Good girls...keep it up! 80%mpo ivo. wenyew kwa wenyew mnapendana kinafiki...na kwetu pia mnatuonesha mashauzi yenu. Yaan..apo uyo dada aliona kwa fikra zake kuwa boy wake yuko flexh(mkwanja)...mawazo yake yooote ni uchoyo tuuu.(yaani atumie na kama vp amchune). Hata ndugu ni hawa wadada dizaini hii ndo wanawafanyiaga vibweka...asa ndg wa opposite side.

Xo, aliwadharau waz wazi mjue, ili kama mlitaka kushare mezaaa...mghaili..mkakae kivyenu...maana mtamharibia bajeti...bull-sheet. TUISSHI KIRROOH XAFI WAPENDWAA! Inapendeza xana. Mkiwa na tabia hizo...mtafanywa ma- Dog. Me sipendiii...RUDISHENI HESHIMA NA UPENDO AMBAO MUNGU AMEWABARIKI.
I realy hate huu uandishi!, X badala ya S. Sasa hapo umefupisha nini??. Yan huwa nikisoma msj yenye hzo swaga huwa nachefuka na ku delete
Hapo hapo..dah. badilikeni bwana ndugu
 
dah angeendeleza mashauzi mwanzo mwisho......sasa kusikia huyu ndiyo boss wangu mashauzi yakaisha.....

hivi ukimchangamkia mtu ukampa heshima yake bila kujali yeye ni nani...kuna shida gani......mbadilike wahusika......

Kweli dada,watu wa namna hizi wabadilike bana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom