TUVUMILIENI TU, hakuna namnaYaani watu wamekaa kwenye ndoa miaka 30,40 au 50. Wamezaa na kuozesha. Mara nyingi mama anaitwa kwa majukumu ya kumhudumia mzazi.
Akiwa pale ndiyo mnagundua mama ana matatizo ya afya. Mkienda hospitali daktari anagundua ni matatizo sugu ya moyo, kisukari au hata TB.
Daktari anasema awe kwenye uangalizi wa karibu kwenye clinic yake. Ninarudi nyumbani na kumfahamisha mzee. Mnamueleza kabisa kuwa anaweza akaja kukaa na nyinyi, amasema hawezi kuacha mifugo yake na mazao
Mama anatibiwa kwa miaka miwili, afya inaimarika anarudi kwake. Akifika huko mzee ana mtoto wa miezi miwili na mama anaambiwa ni damu yangu.
Nlitaka kukutag eti😆nshasahau kama upo juu kileleniTUVUMILIENI TU, hakuna namna
POYEEEE BABYSHEMNlitaka kukutag eti😆nshasahau kama upo juu kileleni
ukisikia mtu anaanza upya kuumwa ndio hapo yaani anaanza uuuuuuuupyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMama anatibiwa kwa miaka miwili, afya inaimarika anarudi kwake. Akifika huko mzee ana mtoto wa miezi miwili na mama anaambiwa ni damu yangu.
tunakoelekea wanawake na nyinyi mtaanza kutunza magunia mawili ya mkaa ndaniWengine wanavuta dada wa kazi, mama akimtuma anaambiwa amechoka muache apumzike.
Wanawake wanachojidanganya Ni kusahau kuwa at any time mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mwingine.Sasa mzee wawatu angefanyaje. apigwe na baridi kisa mke yuko matibabu miaka miwili wakati makucha na meno yakuwindia bado anayo.Hayo nimarupurupu yakiume bana.Bi mkubwa awe mpole tu maana akifikiria sana ataumwa tena nasafari hii akienda matibabu si miaka miwili tena.
Mama wa mafurushi!!Hivi bisibisi inauzwa bei gani?
Tuvumiliane tu jaman ndo ivyo tenaYaani watu wamekaa kwenye ndoa miaka 30,40 au 50. Wamezaa na kuozesha. Mara nyingi mama anaitwa kwa majukumu ya kumhudumia mzazi.
Akiwa pale ndiyo mnagundua mama ana matatizo ya afya. Mkienda hospitali daktari anagundua ni matatizo sugu ya moyo, kisukari au hata TB.
Daktari anasema awe kwenye uangalizi wa karibu kwenye clinic yake. Mnarudi nyumbani na kumfahamisha mzee. Mnamueleza kabisa kuwa anaweza akaja kukaa na nyinyi, amasema hawezi kuacha mifugo yake na mazao
Mama anatibiwa kwa miaka miwili, afya inaimarika anarudi kwake. Akifika huko mzee ana mtoto wa miezi miwili na mama anaambiwa ni damu yangu.