Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,314
Ni tukio amablo limekuwa likijirudia karibu kila mara raia wa Somalia wamekuwa wakikamatiwa mjini Iringa pale kwenye chepoint ya polisi (Igumbilo).
Shida niiipatayo ni kuwa inakuwaje wanavuka mipaka yetu yote na mikao yetu mpaka wanafika Iringa na hata wakati mwingine Tunduma ndipo wakamatwe! Ni wazi uwa vyombo husika vimeshindwa kufanaya kazi yake na huenda hawa ni sehemu ya mamia ambao wanafanikiwa kuvuka upande wa pili?