Wakili wa Sabaya: Kinachoendelea Moshi ni ubatili

Wakili wa Sabaya: Kinachoendelea Moshi ni ubatili

Rudi kajifunze territorial jurisdiction.
wait, sio kama sifahamu. Kesi ufunguliwa mahali tukio lilipotokea au mahali mtuhumiwa makzi yake ya kudumu yalipo.Na kama ikitokea tofauti na hivyo basi posibility ya kushinda mtuhumiwa ni kubwa.Ni issue ya jurisdiction of the court
 
Kina Kibatala walivyokuwa wanasema ubatili wa Mbowe na wenzie kukamatiwa Moshi kisha kusafirishwa hadi Dar na kufungukiwa mashtaka hamkusema! leo yamewakuta ndio mnaona ubatili wa sheria......avumilie tu
 
Uhuni ni uhuni tu
 
Luka 6:45​

"Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema,
na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu;
kwa kuwa mtu kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake."
Tulieni mbona nyie mkimwita yule jamaa ni mke wa wabelgiji kwenu ni poa tu ila wa kwenu wakiguswa mnajifanya kujua maandiko
 
Hamna sheria Ni msumeno we Mtu akikutomba bila makubaliano utakataa kumshtaki? Maana sabaya alimtomba nandi kwa Nguvu
tuhuma nzito hiyo mkuu! Nandi anazo picha za ushahidi akiliwa?
 
Wanataka kumtesa Sabaya. Unakumbuka alipopelekwa gerezani mwanzo walimpa ugali wenye shape ya matako.
Sabaya amefanya makubwa sana huko Moshi. Alikuwa anapita katika maduka anakagua kama vitu vinauzwa kwa bei elekezi,jambo ambalo halifanyiki,jambo,in effect,linaloleta panya road.
Jambazi
 
Back
Top Bottom