mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Siku zote katika maisha yako usimtegemee Binadamu mwenzako,mtegemee MUNGU tu.Huyu Mungu huyu namtafakari kwa kina sana...
Siku zote katika maisha yako usimtegemee Binadamu mwenzako,mtegemee MUNGU tu.Huyu Mungu huyu namtafakari kwa kina sana...
OkBado wanajadili, wamuachie au wamfunge.
Wewe ni mjinga na mpumbavu mkubwa .... soma vizuri alichoandika econonist ... usipende kuparamia escalatorAkili yako ni fipi kama kimba.Kesi hufunguliwa sehemu ambayo mshtakiwa ametenda kosa. Hayo makosa ya Moshi ni yale ambayo anatuhimiwa kuyatenda Moshi!
Aisee pole sana kwa uliyopitia kutoka kwa hao manyampara wa Kisongo😱😱😱Labda hawataki wamfire maana kisongo kule Manyampara Ni hatari navyosikia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuweni na ubinadamu jamani..Alitaka ahamishiwe hotelini? Pumbafff hadi keshokutwa.
Wakili wa Sabaya amesema kitendo cha mteja wake kutolewa kwenye gereza la Kisongo Arusha na kupelekwa kwenye gereza la Moshi ni ubatili mtupu kwani taratibu na sheria za nchi haziruhusu hali hiyo.
Wakili msomi amesema Sabaya amesafirishwa bila remove order wala mawakili wake kujulishwa, kitendo ambacho kinaliweka hatarini gereza la Kisongo iwapo Sabaya atatokewa na kitu chochote kibaya huko Moshi.
suit follows defendant, unaifahamu hii principle?Akili yako ni fipi kama kimba.Kesi hufunguliwa sehemu ambayo mshtakiwa ametenda kosa. Hayo makosa ya Moshi ni yale ambayo anatuhimiwa kuyatenda Moshi!
Hawataweza wakati jambazi sugu Sabaya anaendelea kunyea debe wewe vipi?Hawataweza
Unatumia maneno matatu sana Kwa hawa wake za mbowe
USSR
Sheria zingekuwa zinafuatwa huo ubatili usingetokea.Wakili wake anaongea mfumo kisheria.Kulazimisha jambo nje ya sheria ndiyo ubatiliMambo aliofanya mteja wake Ole Sabaay ya ufisadi na kudhulumu raia sio batili anh? Ni halali?