Wakili Maneno Mbunda atoweka siku ya 7 sasa

WAKILI ATOWEKA, ASADIKIKA KUCHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA

Source: watetezi Tv
 
Mkurugenzi wa Mashtaka wa Taifa(DPP),Biswalo Mganga amesema Wakili Maneno Mbunda na watuhumiwa wengine tisa wanashikiliwa kwa mahojiano kwa makosa mbalimbali .

Biswalo amesema hayo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha leo kuwa mtuhumiwa huyo ambaye pia ni mtumishi wa serikali katika Shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa) na Hakimu ambaye hakutajwa jina warishirikiana kufanya kosa la kuhujumu uchumi kwa kutamka bei ya chini ya meno ya Tembo na kumwachia huru mtuhumiwa.
WATETEZI TV Arusha
 
Now kapatikana wapi? na siku ngapi bila kuonekana? Kama wakili alipotezwa kiana hii je ni wangapi wanapotea kabisa bila hata kujulikana miili yao? Je huko alipo kama angekufa hawa jamaa wangesema alikuwa anashikiliwa?
 
May 4 , 2019

Sakata la Wakili Mbunda, DPP azungumza

Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka (DPP), Bw. Biswalo Mganga amesema Wakili Maneno Pius Mbunda anayedaiwa "kupotea" anashikiliwa na Jeshi la Polisi na watu wengine Tisa akiwamo Hakimu kwa tuhuma za kuvuruga kesi ya meno ya Tembo kisha kuchoma moto Jalada.

Source : mtanzania digital
 
View attachment 1087588

Taarifa za kutoweka kwa Mbunda, ambaye pia ni Mwanasheria wa Hifadhi ya Wanyama Arusha, zilitolewa Aprili 28 mwaka huu zinashangaza wengi na kuomba suala hilo lichukuliwe kwa uzito ili wakili huyo apatikane.

Olengurumwa amesema kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa rafiki wa karibu wa Wakili huyo, magari yaliyotumika kumkamatia hayakuwa na namba za gari na alikamatwa eneo la USA River jijini Arusha, na hajulikani alipo hadi sasa.

“Matukio ya kupotea kwa watu na mawakili na watetezi wengine wa haki za binadamu yamekuwa yakiongezeka hapa nchini na hakuna jitihada zozote zinazochukuliwa na hata kupatiwa ufumbuzi wa kudumu.

“Ikumbukwe kwamba ni takribani miaka minne sasa tangu wakili wa kujitegemea, Philibert Gwagilo, alipopotea na hadi sasa hajulikani alipo, matukio haya ya kupotea kwa watu yanapojitokeza ni lazima hatua za haraka za kiuchunguzi zichukuliwe ili kusaidia upatikanaji wake,” amesema.

Naye dada wa Wakili Mbunda, aliyejitambulisha kwa jina la Upendo, huku akibubujikwa na machozi amesema kaka yake alipotea tangu Aprili 28 mwaka huu, ma kwa mujibu wa maelezo ya rafiki yake aliyekuja kutoa taarifa nyumbani kwao alidai kuwa alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni maaskari.

Upendo amesema tangu tarehe hiyo mpaka leo kaka yake hajaonekana wala hawajafanikiwa kumpata katika kituo chochote cha polisi hapa nchini jambo ambalo anadai limewashtua na linaendelea kuwatia hofu kwakuwa hawana baba wala mama na walikuwa wakimtegemea yeye katika familia yao.

Hata hivyo namba ya Kamanda Polisi, Mkoa wa Arusha, ilipopigwa ili kuelezea tukio hilo kama wanalifahamu simu ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kuwa ni msaidizi wake na kusema atamuelezea mkuu wake kuhusu suala hilo.
Mbwa yeyote anayejiita serikali piga Chinja tupa msioogope hawa ni mbwa tuu
 
Inabidi akipotea kondoo mmoja wetu inabidi wapotee na farasi wao kumi hii itasaidia kulinda wanyama wetu waliopo kwenye mbuga yetu.
 
Ngoja tusubiri hiyo jumatatu tarehe 6 May 2019 mahakamani. Ila hii ya mtu kukamatwa na 'wasiojulikana' kisha mamlaka husika kukaa kimya ni kinyume na sheria za utawala bora.
 
Mkurugenzi wa Mashtaka wa Taifa(DPP),Biswalo Mganga amesema Wakili Maneno Mbunda na watuhumiwa wengine tisa wanashikiliwa kwa mahojiano kwa makosa mbalimbali .

Biswalo amesema hayo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha leo kuwa mtuhumiwa huyo ambaye pia ni mtumishi wa serikali katika Shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa) na Hakimu ambaye hakutajwa jina warishirikiana kufanya kosa la kuhujumu uchumi kwa kutamka bei ya chini ya meno ya Tembo na kumwachia huru mtuhumiwa.
WATETEZI TV Arusha
Je hii inahalalisha mtu (tena wakili) kutekwa (ikiwa ni njia ya kukamatwa)? DPP you have to maintain the integrity of your office. Yours is a noble position.
 
Back
Top Bottom