Wakili Maneno Mbunda atoweka siku ya 7 sasa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,289
Reaction score
15,747
IMG-20190504-WA0010.jpg

Taarifa za kutoweka kwa Mbunda, ambaye pia ni Mwanasheria wa Hifadhi ya Wanyama Arusha, zilitolewa Aprili 28 mwaka huu zinashangaza wengi na kuomba suala hilo lichukuliwe kwa uzito ili wakili huyo apatikane.

Olengurumwa amesema kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa rafiki wa karibu wa Wakili huyo, magari yaliyotumika kumkamatia hayakuwa na namba za gari na alikamatwa eneo la USA River jijini Arusha, na hajulikani alipo hadi sasa.

“Matukio ya kupotea kwa watu na mawakili na watetezi wengine wa haki za binadamu yamekuwa yakiongezeka hapa nchini na hakuna jitihada zozote zinazochukuliwa na hata kupatiwa ufumbuzi wa kudumu.

“Ikumbukwe kwamba ni takribani miaka minne sasa tangu wakili wa kujitegemea, Philibert Gwagilo, alipopotea na hadi sasa hajulikani alipo, matukio haya ya kupotea kwa watu yanapojitokeza ni lazima hatua za haraka za kiuchunguzi zichukuliwe ili kusaidia upatikanaji wake,” amesema.

Naye dada wa Wakili Mbunda, aliyejitambulisha kwa jina la Upendo, huku akibubujikwa na machozi amesema kaka yake alipotea tangu Aprili 28 mwaka huu, ma kwa mujibu wa maelezo ya rafiki yake aliyekuja kutoa taarifa nyumbani kwao alidai kuwa alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni maaskari.

Upendo amesema tangu tarehe hiyo mpaka leo kaka yake hajaonekana wala hawajafanikiwa kumpata katika kituo chochote cha polisi hapa nchini jambo ambalo anadai limewashtua na linaendelea kuwatia hofu kwakuwa hawana baba wala mama na walikuwa wakimtegemea yeye katika familia yao.

Hata hivyo namba ya Kamanda Polisi, Mkoa wa Arusha, ilipopigwa ili kuelezea tukio hilo kama wanalifahamu simu ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kuwa ni msaidizi wake na kusema atamuelezea mkuu wake kuhusu suala hilo.
 
View attachment 1087588

Habari imeanzia katikati!
 
Hatua hizo mnataka zichukuliwe na nani kwa mfano?
 
Tabia zake mtaani zilikuwaje? Mtetezi wa "Wanyonge" ana cheza "darts" saana ...............................
 
Ndio maana wengi siku hizi hawaamini hizi hadithi za jehanam
 
Anauhusiano na Chadema?? wakili wa wanyama pori ?? au wauz nyara wamemkta kichwa? Je serikali hii unaona inajali maish ya watu?
 
Abductions, disappearences, detentions, tortures.... Natafuta title ya movie ninayotengeneza kuhusiana na hayo matukio
 
Wakili akiwa na tamaa, unamtetea mteja wako, wanakuja waliomshitaki wanakupa kitu kidogo unaanza kumpoteza mteja wako, anakushtukia, wakati huo tayari ameshakueleza kila kitu, anapatwa na shaka na wewe, hapo ndio shida inapoanza.
 
Hayo yanawezekana,lakini juhudi za kumtafuta zimefikia wapi?
 
Back
Top Bottom