DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Sehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu iliyomwondoa CHADEMA.
CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya Sheria na Kanuni zinazosimamia mchakato huo.
Chanzo: Bongo Fm
CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya Sheria na Kanuni zinazosimamia mchakato huo.
Chanzo: Bongo Fm