zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,081
- 28,742
Lissu alala lupango, dhamana yazuiwa kwa 'amri kutoka juu' hivyo issue ni political, wakili wake Fatma Karume asimulia
Source: Zaima TV
C.C Zawadi B. Lupelo
Yaani kumbe hata allegations ni za kuunga unga tu??? Hahahhaahahhha ccm bhana hapa wanazidi kumpa kiki tu lisu bila ya kujua