Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

Akapeleke huo upuuzi wake kwa hao wazungu. Anafikiri dhamana inatolewa kienyeji enyeji. Sasa anaandika kwa Kiingereza ndio anafikiri ataeleweka zaidi? Lisu atasota kolokoloni wikiendi hii na huo urais wake na kizungu chake feki.

Kaka umeandika kwa hasira sana,kitu muhimu alichoongea huyu mwanasheria ni kuwa polisi wamesema upelelezi bado unaendelea katika kesi ya Lissu,Huyu dada amehoji kwanini polisi wamemkamata Lissu bila ya kufanya upelelezi kwanza..

Sote tunafahamu kuwa Polisi wanatakiwa wafanye upelelezi kwanza kabla ya kumkamata mtu. baada ya kuona wametosheka na upelelezi ndio wakamate mtu ili wapate kumpeleka mahakamani kutokana na upelelezi waliokuwa nao..na ndio maana katika jeshi la polisi kuna kitengo cha CID

Ni nchi ya Tanzania tu ndio naona kuna huu upuuzi wa kumweka mtu rumande bila ya kumpeleka Mahakamani,kama polisi hawana ushahidi kwanini wamakamate mtu??nchi za wenzetu wanaopenda wananchi wao,wanaofuata katiba za nchi zao wanaofuata demokrasia,wanapenda haki za binadamu haiwezekani kuwekwa mtu rumande bila ya Ushahidi wa kutosha

Suali langu Je Tanzania kuna sheria ya kumlipa mtuhumiwa fidia "compensation" kama polisi wameshindwa kesi mahakamani?
 
Nenda kaandamane sasa.
 
Nenda kaandamane sasa.
Wajinga ndio waliwao waswahili wamesema,kwa ujinga wako huoni tatizo lolote haya yanayofanywa na Polisi..

Tafauti ya binadamu na wanyama ni kuwa binaadamu tuna uwezo wa kufikiri lakini wanyama hawana uwezo huo hata kama wanao basi ni mdogo sana

Kama tunapinga na kutofuata sheria tulizozitunga wenyewe basi watanzania tunakuwa hatuna tafauti na wanyama,tafakari
 
Back
Top Bottom