Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

Lakini huyo wakili kazidi mihemuko. Hata kupumua anashindwa? Ninachomuomba basi atulie kidogo, asiwe kama anafukuzwa hivi; ataharibu kila kitu.
Whether ana mihemko or not kesi inaamuliwa na vifungu vya sheria sio nani kahemka au nani ana busara....... na mtapigwa tena kma kawaida kwa ufupi lisu hamumwezi labda mumtime jimboni kwake kma kafulila mumpole 2020 otherwise ataendelea kuwa mwiba mkali kwa magamba
 
Acha kejeli wwe she has a better IQ than ur entire clan combined go check her grades and track record....... we una nini la kujivunia toka umezaliwa ambalo limeleta mabadiliko chanya kwa watanzania au ulimwengu???

Empty nut

Mkuu sasa mtu anajiita nyani ngabu unafikiri IQ yake itakuwa ngapi kama sio kucheza kwenye 0.bashite,kichwa empy hicho humo ni 0.0000000
 
Hivi hao Wazungu mnojifanya hamna ushirika nao na mnawatukana,si ndio wanaofadhili mfuko wa "Benjamin Mkapa Foundation" na juzi huko Chato walizindua nyumba za wahudumu wa afya?

Si ndio hao mmewaomba toka Instanbul wawajengee reli ya SG toka Dsm mpaka Moro,mkawakopa hadharani kwenye TV huku mkionekana?Ndio hao nyie mnawaita "Washirika wa Maendeleo" ili kupoza maana ya neno "Wafadhili?"

Hao ndio wanachangia 60% ya bajeti ya viwanda ya 2017/2018...Kama mmethibitisha "anatumika" na wazungu,kwanini msimshtaki haraka iwezekanavyo!?

Mwenzenu kila sentensi anayotamka anajua ina madhara gani kisheria.Mtaishia kumuweka mahabusu kwa amri kutoka juu,lakini hamuwezi kumfunga kwa kutumia vifungu vya sheria.

Mnampa umaarufu wa bure...Mpaka mtaani watoto wakiwa wanashindana kwenye michezo,mmoja akisema "Mi Magufuli" mwingine anasema "Mimi Tundu Lissu"...Aliyesema Magufuli,anasema basi mi sichezi.
Wakati mwingine wampa umaarufu usiosababu!Watz wanavyochapwa na maisha kwa sasa Lissu anaeleweka zaidi ya watawala!
 
Ndio maana kila siku nasema sheria zetu Kuna mahala hazikukaa sawa.

Am sure atatoka Tu na Atashinda, But awakandike fidia ya kufilisi hazina ili heshima ya utawala wa sheria iwepo.

Huwezi kuwapotezea wenzio muda kizembezembe hivi, ofcoz ukiangalia marafiki wanaomzunguka ni wazi kwamba tunajua tunatawaliwa na mtu wa sampuli gani, uchochezi gani kafanya Lissu? Nani kachocheka? Amechocheka mpaka degree Celsius ngapi?

Tuache Unafki..

Nakupenda Bure Advocate Msomi FATMA BINTI KARUME.
 
Per Fatma Karume, Advocate;

I went to represent Tundu Lissu at Central Police Station this evening. He was charged for soliciting/incitement contrary to section 390 of the Penal Code. I asked who the police think he solicited/incited and what crime Tundu incited this person to commit. The answer I received was "Bado tunachunguza!" I asked the police to grant him bail. They refused to do so on the ground that "Watu wa juu ndiyo watoamua!" So a member of Parliament and President of the Law Society is spending a night in police custody for allegedly soliciting/inciting an unknown person to commit an unknown crime all of which the police are still investigating. This is an unacceptable abuse of police powers of arrest that should be condemned by all right thinking Tanzanians!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine Huyu Fatma Karume team Uamsho akifika Central kuulizia Wachochezi na aulizwe kibali cha kuingia Tanganyika kapata wapi wakati wanajifanyaga hawataki na wala hawatambui Muungano!
Arudishwe kwao Zanzibar na apigwe Marufuku kunajisi Ardhi tukufu ya Tanganyika!
 
Hivi hao Wazungu mnojifanya hamna ushirika nao na mnawatukana,si ndio wanaofadhili mfuko wa "Benjamin Mkapa Foundation" na juzi huko Chato walizindua nyumba za wahudumu wa afya?

Si ndio hao mmewaomba toka Instanbul wawajengee reli ya SG toka Dsm mpaka Moro,mkawakopa hadharani kwenye TV huku mkionekana?Ndio hao nyie mnawaita "Washirika wa Maendeleo" ili kupoza maana ya neno "Wafadhili?"

Hao ndio wanachangia 60% ya bajeti ya viwanda ya 2017/2018...Kama mmethibitisha "anatumika" na wazungu,kwanini msimshtaki haraka iwezekanavyo!?

Mwenzenu kila sentensi anayotamka anajua ina madhara gani kisheria.Mtaishia kumuweka mahabusu kwa amri kutoka juu,lakini hamuwezi kumfunga kwa kutumia vifungu vya sheria.

Mnampa umaarufu wa bure...Mpaka mtaani watoto wakiwa wanashindana kwenye michezo,mmoja akisema "Mi Magufuli" mwingine anasema "Mimi Tundu Lissu"...Aliyesema Magufuli,anasema basi mi sichezi.

Mkuu nawaomba hao watoto ati.." Mimi JPM Mwingine Lissu....."Hakuna mchezo juu hautaki hasira.
 
Siku nyingine Huyu Fatma Karume team Uamsho akifika Central kuulizia Wachochezi na aulizwe kibali cha kuingia Tanganyika kapata wapi wakati wanajifanyaga hawataki na wala hawatambui Muungano!
Arudishwe kwao Zanzibar na apigwe Marufuku kunajisi Ardhi tukufu ya Tanganyika!

Tatizo lako ni "UKUKU" pole.Fatima Karume ni mtanzania mwenye haki ya kumponda Sizonje kama wewe unayemuabudu na kumsujudia.
 
Hao akina Mkapa walizungumza kizungu huko Chato?
Wewe ni mmoja wa watu wanaoendekeza ujinga hata wakielimishwa. Umeambiwa lugha ya sheria hapa Tanzania ni kiingereza na ujumbe huo wa Karume ulikuwa ni taarifa kwa mawakili wenzake na kwa lugha yao, bado hutaki kuelewa!
Tayari umeonyesha uwezo wako wa ufahamu, utakuwa member wa ile society ya UKUKU
 
Kiongozi yeyote mwenye hofu asiyejiamini hushinda kutwa akiwatuhumu watu wanaomzunguka kuwa wana hila na yeye za kumharibia mipango yake.

Hivyo ili kujilinda lazima ahakikishe anawazuia watu wote wanaofanya kazi kama yake ikiwezekana hata kuwaombea vifo.

Huyu dereva wa pulling baada ya kuona ugumu wa mashine hii ameacha kazi yake halisi ya udereva sasa anataka pia awe kondakta jambo ambalo katu haliwezi kufanikiwa.

Anaacha usukani anaanza kukusanya nauli za abiria ati ameseti pulling ijiongoze hii ni hatari.

Madhara ya maamuzi ya dereva wetu kila abiria ataonja joto la jiwe na mwisho watakaokuja kuumia sana ni mainjinia wake wanaojifanya wakarabati wa pilling kila inapogongeshwa kwenye miti na makorongoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akapeleke huo upuuzi wake kwa hao wazungu. Anafikiri dhamana inatolewa kienyeji enyeji. Sasa anaandika kwa Kiingereza ndio anafikiri ataeleweka zaidi? Lisu atasota kolokoloni wikiendi hii na huo urais wake na kizungu chake feki.
Point hukosolewa kwa point, kama kiingereza chake ni fake basi tutafsirie maneno ya Fatma Karume yawe kiswahili ili tuelewe zaidi au tafsiri hii reply yako kwa kiingereza ili tujue nani fake na nani real.
 
Per Fatma Karume, Advocate;

I went to represent Tundu Lissu at Central Police Station this evening. He was charged for soliciting/incitement contrary to section 390 of the Penal Code. I asked who the police think he solicited/incited and what crime Tundu incited this person to commit. The answer I received was "Bado tunachunguza!" I asked the police to grant him bail. They refused to do so on the ground that "Watu wa juu ndiyo watoamua!" So a member of Parliament and President of the Law Society is spending a night in police custody for allegedly soliciting/inciting an unknown person to commit an unknown crime all of which the police are still investigating. This is an unacceptable abuse of police powers of arrest that should be condemned by all right thinking Tanzanians!

Sent using Jamii Forums mobile app
"Huyu boss wetu anapaswa kutenganisha siasa anazofanya na chama cha wanasheria. It is my own opinion kwamba si kila anachofanyiwa kwenye siasa kiletwe na huku TLS. The side effects itakuwa kwamba TLS is against the gvt, mtazamo ambao nafikiri sio sahihi.
*Even if you dont agree thts my observation.*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akapeleke huo upuuzi wake kwa hao wazungu. Anafikiri dhamana inatolewa kienyeji enyeji. Sasa anaandika kwa Kiingereza ndio anafikiri ataeleweka zaidi? Lisu atasota kolokoloni wikiendi hii na huo urais wake na kizungu chake feki.
Watu kama nyie ndo mnaoturudisha nyuma.

Delta Force
 
Back
Top Bottom