Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Koka Moita amesema Alberto Msando ameitwa kwa ajili ya Mahojiano ila ni mapema sana kusema ni mahojiano yanayohusu nini kwani hana taarifa kamili
Alipoulizwa kama kushikiliwa kwa Wakili Msando kunahusisha yale aliyoongea jana wakati wakati akikabidhi vifaa ya kujikinga na #COVID19, amesema hasema hana taarifa kamili na suala hiyo halijakaa sawa kuzungumzia
Aidha, amethibitisha kuwa Wakili Msando ameitwa Polisi kwa mdomo kama ambavyo alitumia yeye alitumia kuzungumza, na kuwa hakuna nguvu iliyotumika
Kamanda Moita amesema, “Kama ambavyo alitumia mdomo kuzungumza, na kuja Polisi pia imetumika kauli ya kumuita.” Amesema pia mahojiano yakikamilika atatoa taarifa
Jana wakati akigawa vifaa hivyo alisema “Ni kweli na niseme bila kuficha hali ni mbaya, kwa Arusha hali ni mbaya. Ndugu lazima mfike mahali muweke mguu chini mseme ukweli ili Wananchi, Serikali na kila anayehusika atambue tupo katika hali mbaya ambayo kila mmoja wetu anapaswa kuchukua hatua.”
Aliongeza, “Mkirudi nyuma na kuogopa kusema, tutazikana. Hii ndio nafasi yenu, tusipozungumza, msipo andika na kusema ngoja tutoke tukatafute ukweli na tuuseme, basi huu ugonjwa hautaondoka kirahisi.”
Pia soma: Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana - JamiiForums
Nafikiri sisi ni wajing ...., Sio wanatuona , maana yy Katoa maoni yake ambayo kikatiba anaruhussiwaYaani hawa. Tatizo wanatuona sisi wananchi wajinga. Sasa mtu kusema Arusha Arusha ugonjwa umesambaa kuna kosa gani ?
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Koka Moita amesema Alberto Msando ameitwa kwa ajili ya Mahojiano ila ni mapema sana kusema ni mahojiano yanayohusu nini kwani hana taarifa kamili
Alipoulizwa kama kushikiliwa kwa Wakili Msando kunahusisha yale aliyoongea jana wakati wakati akikabidhi vifaa ya kujikinga na #COVID19, amesema hasema hana taarifa kamili na suala hiyo halijakaa sawa kuzungumzia
Aidha, amethibitisha kuwa Wakili Msando ameitwa Polisi kwa mdomo kama ambavyo alitumia yeye alitumia kuzungumza, na kuwa hakuna nguvu iliyotumika
Kamanda Moita amesema, “Kama ambavyo alitumia mdomo kuzungumza, na kuja Polisi pia imetumika kauli ya kumuita.” Amesema pia mahojiano yakikamilika atatoa taarifa
Jana wakati akigawa vifaa hivyo alisema “Ni kweli na niseme bila kuficha hali ni mbaya, kwa Arusha hali ni mbaya. Ndugu lazima mfike mahali muweke mguu chini mseme ukweli ili Wananchi, Serikali na kila anayehusika atambue tupo katika hali mbaya ambayo kila mmoja wetu anapaswa kuchukua hatua.”
Aliongeza, “Mkirudi nyuma na kuogopa kusema, tutazikana. Hii ndio nafasi yenu, tusipozungumza, msipo andika na kusema ngoja tutoke tukatafute ukweli na tuuseme, basi huu ugonjwa hautaondoka kirahisi.”
Pia soma: Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana - JamiiForums
CHADOMO duh!😂😂😂Tego hilo, jamani ukiingia head head imekula kwako.
Kumbuka mwanaCCM kaitwa kuhojiwa kuhusu kauli yake "presumably" sasa nyie CHADOMO mlivyo na kiramga mkiitwa kistaarabu hivyo mtagoma na hapo ndipo mnapotoa mwanya wa yale Mambo yetu kutumika, kisha mnakuja huku jamii forums na kuanza kubwata sijui policcm sijui matakataka gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleza jambo zuri kwa lugha yenye ukakasi.Huu ni ujinga wa kupitiliza
Mtakamata wangapi?
Kwa nini mnaficha takwimu inawasaidia nini?
Msando jamaa zako hao umenaswa ulikuwa mstari wa mbele kuwasimanga Chadema
Tukisema kijani ni lost case muwe mnaelewa
Pole kwa maswahibu wakili naniliii
Chumba cha Mahututi - JamiiForumsHuu ni ujinga wa kupitiliza
Mtakamata wangapi?
Kwa nini mnaficha takwimu inawasaidia nini?
Msando jamaa zako hao umenaswa ulikuwa mstari wa mbele kuwasimanga Chadema
Tukisema kijani ni lost case muwe mnaelewa
Pole kwa maswahibu wakili naniliii

wewe ndiyo police?Tangaza na wewe wakukamata mbona umejificha nyuma ya keyboard dada?
wasikumu IQ Zenu mdogo sanaNataka nikuoe nikupeleke Mwanza Dada! Nimekudondokea wangu!!
Usimsahau patrobas.... dogo chali. Kafulila ndo cha mendeMsando alidhani mtu anaweza kuingia mkataba na shetani na akawa salama. Selasini, Waitara, Mtatiro et Al, are you reading this?
Kwani kujamata wananchi kilumbavu ivi ni sifa?Tangaza na wewe wakukamata mbona umejificha nyuma ya keyboard dada?