Wakili Albert Msando amepotosha umma kwa kudai CAG hana kinga ya kutohojiwa na Kamati ya Bunge

L

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Messages
635
Likes
93
Points
45
L

Lord denning

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2015
635 93 45
Amani iwe kwenu Wadau.

Kwanza napenda kuwasalimu na kuwaomba radhi kwa kipindi chote ambacho sijaonekana katika jukwaa hili.

Nimekuwa kimya kwa kipindi nikifutilia mijadala mbalimbali kwenye jukwaa hili huku nikitafakari kwa kina ni kwa jinsi gani jukwaa hili linatoa mchango chanya katika ukuaji wa nchi yetu kwenye Nyanja zote.

Niliamua kuwa msomaji tu na sio mchangiaji ila hili alilolipost Wakili Msando leo limenifanya nirudi haraka na mie nitumie mchango wangu katika kuuelewesha umma wa watanzania katika mambo ya msingi ya kisheria kwa sababu nikikaa kimya umma wa watanzania utalishwa matango pori na watu wanajiita kuwa wanasheria ila wanapotosha kwa makusudi kwa sababu zao binafsi.

Albert Msando amepotosha umma kwa kiwango kikubwa sana kwa kusema kuwa CAG HANA kinga ya kutohojiwa na kamati ya Bunge kwa kauli inayosemekana ya kulidhalilisha Bunge. Napenda kusema kuwa Msando amekosea sana na anastahili kuiomba radhi tasnia ya sheria kwa upotoshaji huu uliotukuka.

Katika katiba ya Jamhuri ya Tanzania ya mwaka 1977 kati ya nafasi ambazo zimelindwa na zimewekwa kuwa nyeti mojawapo ni nafasi za Jaji( Mahakama kuu na Mahakama ya rufaa) pamoja na CAG. Watu hawa wamewekewa utaratibu maalumu wa kuwawajibisha endapo watafanya makosa yeyote yale iwe wao kama wao au wao kama taasisi na Katiba ya Tanzania haikuacha mwanya wowote katika hayo.

CAG wa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Tanzania ya mwaka 1977 ibara za 143 na 144 ana njia mbili tu za kumuwajibisha nazo ni
  • MAHAKAMA
  • KAMATI/TUME MAALUM YA MAJAJI AMBAYO LAZIMA IJUMUISHE MAJAJI KUTOKA JUMUIYA YA MADOLA
Katika katiba ya Jamhuri ya Tanzania haijasema popote pale kuwa kamati ya Bunge inaweza kumuhoji CAG kwa iyo jibu kama kamati ya Bunge ina mamlaka ni HAPANA HAINA MAMLAKA HAYO.

Mussa Assad alikuwa nchini Marekani kama CAG akiwakilisha Tanzania kama CAG ana hata pale alikuwa akihojiwa kama CAG wa Tanzania kuhusu utengaji wake wa kazi za U CAG wa Tanzania. Kama kuna kosa limefanywa pale taratibu za kumshughulikia ni za njia mbili tu yaaani ni kwa Mahakama au Tume maalumu ya Majaji ambayo lazima ijumuishe majaji/ jaji kutoka nchi za jumuiya ya Madola.

Naomba Msando usitumike katika kupotosha juu ya hili na napenda sote tukumbuke jambo hili linahusu katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo ndo inayotuongoza sote.

Ingawa Katiba ya Jamhuri ya muungazo ya 1977 ina mapungufu mengi na wengine kudai imepitwa na wakati lakini pia ina mambo mazuri mengi sana yakiwemo haya ya kulinda taasisi ya Mahakama/Majaji na taasisi/nafasi ya CAG.

Asanteni.
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,886
Likes
1,107
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,886 1,107 280
Kinga alizo nazo CAG ni katika kutimiza majukum yake ya uCAG tu,Hakuna sehem speaker atamwita CAG kuhusiana na mambo ya Auditing kuwa yamekosewa, amechelewa kutoa au kashindwa kutimiza jambo lolote katika kazi yake. Hapa speaker hana Nguvu yyt ya kumhoji CAG. Mfano hata kwa Makonda speaker asingekuwa na mamlaka yyt ya kumwita makonda kwa makosa ya utekelezaji wa majukum yake ya uRC. Makonda hata awe anachelewa kuingia ofisini, anatukana watu au anafanya mambo yyt kinyume na maadili bado bunge halina haki ya kumhoji. Makonda na CAG waliitwa na Bunge kwa kosa moja tu,KUDHARAU BUNGE. Hapa huna cha nilikua kwenye majukum yangu au nilikua wapi,Swala ni umedharau Mhimili wa Bunge na Bunge haliwez kukupa adhabu yyt nje ya onyo na kama ni kutaka ufukuzwe kazi ni wao kuwasiliana na Mhimili uliokupa ajira ambao ni Serikali. Bunge likiona makosa yako ni makubwa na hayabebeki wao ni kutoa maazimio kwenda kwa serikali na Mwisho serikali itatakiwa kutoa uamuzi juu ya jambo hilo.CAG na ofisi yake sio muhimil unaojitegemea,Huu uko chini ya serikali na kinga alizo nazo ni ktk kutimiza majukum yake ya uCAG na sio nje ya Hapo.Kama kulidharrsha bunge ni sehemu ya kazi za CAG basi hakuna shida.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Mkuu,
Kwanza nikupongeze umeenda straight kwenye point 100%. Maana mleta mada kaingia kwa mbwembwe mi nikadhani ana jipya kumbe nae anatudia ku copy & paste.

Kuna watanzania wanadhani kwa sababu wamesoma sheria basi wanaweza kutulisha watanzania wengine lolote lile walitakalo bila sisi kutafakari.

Msando yuko sahihi kabisa,na CAG alijojiwa kama Asad (personal).
ILe clip ni mahojiano kati ya Prof Asad na mtangazaji husika. Hakutoa maelezo kwenye kikao alichokwenda kuhudhuria bali nje ya kile kikao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
13,274
Likes
2,011
Points
280
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
13,274 2,011 280
Kinga alizo nazo CAG ni katika kutimiza majukum yake ya uCAG tu,Hakuna sehem speaker atamwita CAG kuhusiana na mambo ya Auditing kuwa yamekosewa, amechelewa kutoa au kashindwa kutimiza jambo lolote katika kazi yake. Hapa speaker hana Nguvu yyt ya kumhoji CAG. Mfano hata kwa Makonda speaker asingekuwa na mamlaka yyt ya kumwita makonda kwa makosa ya utekelezaji wa majukum yake ya uRC. Makonda hata awe anachelewa kuingia ofisini, anatukana watu au anafanya mambo yyt kinyume na maadili bado bunge halina haki ya kumhoji. Makonda na CAG waliitwa na Bunge kwa kosa moja tu,KUDHARAU BUNGE. Hapa huna cha nilikua kwenye majukum yangu au nilikua wapi,Swala ni umedharau Mhimili wa Bunge na Bunge haliwez kukupa adhabu yyt nje ya onyo na kama ni kutaka ufukuzwe kazi ni wao kuwasiliana na Mhimili uliokupa ajira ambao ni Serikali. Bunge likiona makosa yako ni makubwa na hayabebeki wao ni kutoa maazimio kwenda kwa serikali na Mwisho serikali itatakiwa kutoa uamuzi juu ya jambo hilo.CAG na ofisi yake sio muhimil unaojitegemea,Huu uko chini ya serikali na kinga alizo nazo ni ktk kutimiza majukum yake ya uCAG na sio nje ya Hapo.Kama kulidharrsha bunge ni sehemu ya kazi za CAG basi hakuna shida.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Link 1. Ludovick Utoh: Spika Ndugai kumwita CAG Assad ni jambo jipya, halijawai kutokea toka nchi kupata uhuru - JamiiForums

Link 2. Kibarua cha CAG kuota nyasi - JamiiForums

Link 3. Kimaadili ya Kihasibu: Je, CAG alikuwa sahihi? - JamiiForums
 
Mystery

Mystery

JF Gold Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
10,786
Likes
13,732
Points
280
Mystery

Mystery

JF Gold Member
Joined Mar 8, 2012
10,786 13,732 280
Kasome Sheria za maadili ya viongoz. Sijui kazi unayofanya na elimu yako,lkn kwa Mimi niliyesoma ETHICS za Uongozi ni kosa kubwa sana kutaja UDHAIFU au kukashifu kiongoz mwenzio hadharani hata kama ni ukweli kias gani. Mkuu wa Shule Huwez simama assemble na kusema mwalimu flani hufundishi vizur na ndio maana watoto wanafeli. Unaweza kuwa sahihi kabisa kwa kauli yako lkn kimaadili ya utumishi wa umma ni kosa kubwa ambalo kama litafika sehem husika unaweza fukuzwa kazi. CAG ni mtumishi wa umma na kuna fomu ya maadili ya viongoz kajaza inasema nini kuhusu kuheshimu viongoz au taasisi unayoshirikiana nayo kufanya kazi?Na utaona kesi ya CAG haimamriwi na mahakama bali na kamati ya maadili. CAG akiiba kwanza anapelekwa kamati ya maadili na Mwisho mahakaman. Kusema Dhaifu sio kosa la jinai na ni kweli bunge ni dhaifu lkn ndio maadili ya viongoz au watumishi wa umma?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Mbona Mbunge wa Kibamba, Mheshimiwa John Mnyika alimuita, Rais wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete dhaifu na Rais huyo mstaafu hakuviagiza vyombo "vyake" vya ulinzi wamweke ndani??

Ni kwa kuwa Rais huyo mstaafu alikuwa akitumia busara na kuamini kuwa Mnyika alitumia Uhuru wake wa maoni, kama ambavyo unavyoainishwa ndani ya Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1)
 
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
504
Likes
253
Points
80
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
504 253 80
Kinga alizo nazo CAG ni katika kutimiza majukum yake ya uCAG tu,Hakuna sehem speaker atamwita CAG kuhusiana na mambo ya Auditing kuwa yamekosewa, amechelewa kutoa au kashindwa kutimiza jambo lolote katika kazi yake. Hapa speaker hana Nguvu yyt ya kumhoji CAG. Mfano hata kwa Makonda speaker asingekuwa na mamlaka yyt ya kumwita makonda kwa makosa ya utekelezaji wa majukum yake ya uRC. Makonda hata awe anachelewa kuingia ofisini, anatukana watu au anafanya mambo yyt kinyume na maadili bado bunge halina haki ya kumhoji. Makonda na CAG waliitwa na Bunge kwa kosa moja tu,KUDHARAU BUNGE. Hapa huna cha nilikua kwenye majukum yangu au nilikua wapi,Swala ni umedharau Mhimili wa Bunge na Bunge haliwez kukupa adhabu yyt nje ya onyo na kama ni kutaka ufukuzwe kazi ni wao kuwasiliana na Mhimili uliokupa ajira ambao ni Serikali. Bunge likiona makosa yako ni makubwa na hayabebeki wao ni kutoa maazimio kwenda kwa serikali na Mwisho serikali itatakiwa kutoa uamuzi juu ya jambo hilo.CAG na ofisi yake sio muhimil unaojitegemea,Huu uko chini ya serikali na kinga alizo nazo ni ktk kutimiza majukum yake ya uCAG na sio nje ya Hapo.Kama kulidharrsha bunge ni sehemu ya kazi za CAG basi hakuna shida.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
wenye makengeza "biasness" ya akili hawataweza kusoma huu ukweli na hawautaelewa..
 
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
504
Likes
253
Points
80
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
504 253 80
Amani iwe kwenu Wadau.

Kwanza napenda kuwasalimu na kuwaomba radhi kwa kipindi chote ambacho sijaonekana katika jukwaa hili.

Nimekuwa kimya kwa kipindi nikifutilia mijadala mbalimbali kwenye jukwaa hili huku nikitafakari kwa kina ni kwa jinsi gani jukwaa hili linatoa mchango chanya katika ukuaji wa nchi yetu kwenye Nyanja zote.

Niliamua kuwa msomaji tu na sio mchangiaji ila hili alilolipost Wakili Msando leo limenifanya nirudi haraka na mie nitumie mchango wangu katika kuuelewesha umma wa watanzania katika mambo ya msingi ya kisheria kwa sababu nikikaa kimya umma wa watanzania utalishwa matango pori na watu wanajiita kuwa wanasheria ila wanapotosha kwa makusudi kwa sababu zao binafsi.

Albert Msando amepotosha umma kwa kiwango kikubwa sana kwa kusema kuwa CAG HANA kinga ya kutohojiwa na kamati ya Bunge kwa kauli inayosemekana ya kulidhalilisha Bunge. Napenda kusema kuwa Msando amekosea sana na anastahili kuiomba radhi tasnia ya sheria kwa upotoshaji huu uliotukuka.

Katika katiba ya Jamhuri ya Tanzania ya mwaka 1977 kati ya nafasi ambazo zimelindwa na zimewekwa kuwa nyeti mojawapo ni nafasi za Jaji( Mahakama kuu na Mahakama ya rufaa) pamoja na CAG. Watu hawa wamewekewa utaratibu maalumu wa kuwawajibisha endapo watafanya makosa yeyote yale iwe wao kama wao au wao kama taasisi na Katiba ya Tanzania haikuacha mwanya wowote katika hayo.

CAG wa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Tanzania ya mwaka 1977 ibara za 143 na 144 ana njia mbili tu za kumuwajibisha nazo ni
  • MAHAKAMA
  • KAMATI/TUME MAALUM YA MAJAJI AMBAYO LAZIMA IJUMUISHE MAJAJI KUTOKA JUMUIYA YA MADOLA
Katika katiba ya Jamhuri ya Tanzania haijasema popote pale kuwa kamati ya Bunge inaweza kumuhoji CAG kwa iyo jibu kama kamati ya Bunge ina mamlaka ni HAPANA HAINA MAMLAKA HAYO.

Mussa Assad alikuwa nchini Marekani kama CAG akiwakilisha Tanzania kama CAG ana hata pale alikuwa akihojiwa kama CAG wa Tanzania kuhusu utengaji wake wa kazi za U CAG wa Tanzania. Kama kuna kosa limefanywa pale taratibu za kumshughulikia ni za njia mbili tu yaaani ni kwa Mahakama au Tume maalumu ya Majaji ambayo lazima ijumuishe majaji/ jaji kutoka nchi za jumuiya ya Madola.

Naomba Msando usitumike katika kupotosha juu ya hili na napenda sote tukumbuke jambo hili linahusu katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo ndo inayotuongoza sote.

Ingawa Katiba ya Jamhuri ya muungazo ya 1977 ina mapungufu mengi na wengine kudai imepitwa na wakati lakini pia ina mambo mazuri mengi sana yakiwemo haya ya kulinda taasisi ya Mahakama/Majaji na taasisi/nafasi ya CAG.

Asanteni.
Kwa tafsiri ya hiyo kinga CAG akilewa anaendesha ovyo barabarani Traffic hawaruhusiwi kumkamata na kumuweka mahabusu?
Ni katiba na tume vinamlinda?
IGP kwanini uharifu umezidi nchini kwako? .. Sisi kama polisi tunakamata shida wakifika mahakamani wanaachiwa.. mahakama dhaifu.....Jaji mkuu.. atakuwa atakuwa kaingiliwa na kutukanwa kwa misingi ya kula rushwa etc...

Immune yake ni Auditing matters tu... Ana uhuru wa kusema raisi kaiba ama bunge linapoteza pesa ovyo... Vinginevyo CAG tutamshika kibindo asipokuja Bungeni
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,685
Likes
5,201
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,685 5,201 280
Kinga alizo nazo CAG ni katika kutimiza majukum yake ya uCAG tu,Hakuna sehem speaker atamwita CAG kuhusiana na mambo ya Auditing kuwa yamekosewa, amechelewa kutoa au kashindwa kutimiza jambo lolote katika kazi yake. Hapa speaker hana Nguvu yyt ya kumhoji CAG. Mfano hata kwa Makonda speaker asingekuwa na mamlaka yyt ya kumwita makonda kwa makosa ya utekelezaji wa majukum yake ya uRC. Makonda hata awe anachelewa kuingia ofisini, anatukana watu au anafanya mambo yyt kinyume na maadili bado bunge halina haki ya kumhoji. Makonda na CAG waliitwa na Bunge kwa kosa moja tu,KUDHARAU BUNGE. Hapa huna cha nilikua kwenye majukum yangu au nilikua wapi,Swala ni umedharau Mhimili wa Bunge na Bunge haliwez kukupa adhabu yyt nje ya onyo na kama ni kutaka ufukuzwe kazi ni wao kuwasiliana na Mhimili uliokupa ajira ambao ni Serikali. Bunge likiona makosa yako ni makubwa na hayabebeki wao ni kutoa maazimio kwenda kwa serikali na Mwisho serikali itatakiwa kutoa uamuzi juu ya jambo hilo.CAG na ofisi yake sio muhimil unaojitegemea,Huu uko chini ya serikali na kinga alizo nazo ni ktk kutimiza majukum yake ya uCAG na sio nje ya Hapo.Kama kulidharrsha bunge ni sehemu ya kazi za CAG basi hakuna shida.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
mazwazwa.
hivi huyu mgonjwa wenu si aliwahi kutembeza bakora kwa mjumbe mpaka akamfletisha.. je alichukuliwa hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,685
Likes
5,201
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,685 5,201 280
Mkuu hapa unatuingiza Chaka Rudi tena kwenye reference zako. CAG hawajibishwi na mahakama, CAG anawajibishwa na Rais hii ni baada ya tume maalum aliyoiteua yeye Rais kumpelekea mapendekezo yake.

Ila kwa tafsiri ya Ibara ya 143 ni mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kuingilia utendaji kazi wake.
hovyoo
umeshameza dawa zako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,685
Likes
5,201
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,685 5,201 280
Wanasheria wa Tanzania wengine ni kama wachekeshaji. Wanajidanganya wanachojua wao ndio sahihi kabisa eti kwa kusoma mstari mmoja wa sentensi
Hakuna mamlaka yasiyo na wajibu. CAG kwenda nje na kusema vile hata kama yuko sahihi, platform aliyotoa maneno yake sio sahihi.
Amekosea sana
mwajibishe kama wewe ni me
vinginevyo baki ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,685
Likes
5,201
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,685 5,201 280
Kinga alizo nazo CAG ni katika kutimiza majukum yake ya uCAG tu,Hakuna sehem speaker atamwita CAG kuhusiana na mambo ya Auditing kuwa yamekosewa, amechelewa kutoa au kashindwa kutimiza jambo lolote katika kazi yake. Hapa speaker hana Nguvu yyt ya kumhoji CAG. Mfano hata kwa Makonda speaker asingekuwa na mamlaka yyt ya kumwita makonda kwa makosa ya utekelezaji wa majukum yake ya uRC. Makonda hata awe anachelewa kuingia ofisini, anatukana watu au anafanya mambo yyt kinyume na maadili bado bunge halina haki ya kumhoji. Makonda na CAG waliitwa na Bunge kwa kosa moja tu,KUDHARAU BUNGE. Hapa huna cha nilikua kwenye majukum yangu au nilikua wapi,Swala ni umedharau Mhimili wa Bunge na Bunge haliwez kukupa adhabu yyt nje ya onyo na kama ni kutaka ufukuzwe kazi ni wao kuwasiliana na Mhimili uliokupa ajira ambao ni Serikali. Bunge likiona makosa yako ni makubwa na hayabebeki wao ni kutoa maazimio kwenda kwa serikali na Mwisho serikali itatakiwa kutoa uamuzi juu ya jambo hilo.CAG na ofisi yake sio muhimil unaojitegemea,Huu uko chini ya serikali na kinga alizo nazo ni ktk kutimiza majukum yake ya uCAG na sio nje ya Hapo.Kama kulidharrsha bunge ni sehemu ya kazi za CAG basi hakuna shida.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
hivi bashite ana kinga kama ya CAG?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
2,276
Likes
2,463
Points
280
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
2,276 2,463 280
Funny unatuomba radhi kutoonekana jamvini halafu unatema tu shudu nilidhani una kitu fulani unique kichwani.CAG hajaitwa kwenda kuwajibishwa kwa kazi zake za kikatiba bali kwenda kuelezea tu huo udhaifu wa bunge mbele ya kamati.Hata RPC anaweza kumuita akamhoji akifanya jinai yoyote.
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,886
Likes
1,107
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,886 1,107 280
Mbona Mbunge wa Kibamba, Mheshimiwa John Mnyika alimuita, Rais wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete dhaifu na Rais huyo mstaafu hakuviagiza vyombo "vyake" vya ulinzi wamweke ndani??

Ni kwa kuwa Rais huyo mstaafu alikuwa akitumia busara na kuamini kuwa Mnyika alitumia Uhuru wake wa maoni, kama ambavyo unavyoainishwa ndani ya Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1)
Mbunge yule alilindwa na sheria za nchi.
Aliyasema hayo akiwa ndani ya bunge ambako rais hana mamlaka kikatiba kumuwajibisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
4,754
Likes
2,950
Points
280
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
4,754 2,950 280
umeulizwa Rais kuita wale watoto wetu UDOM vilaza pia ni kazi ya rais??

Assad alikua USA km CAG wa Tanzania na alihojiwa km CAG, swali linakuja ni majibu gani akiyatoa anakua hajayatoa CAG, na yapi anakua anayajibu km CAG??
Kwamba maelezo yote hayo ujaelewa kiasi kuja na maswali ya kipuuz kama haya?Soma tena

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
4,754
Likes
2,950
Points
280
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
4,754 2,950 280
Mbona Mbunge wa Kibamba, Mheshimiwa John Mnyika alimuita, Rais wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete dhaifu na Rais huyo mstaafu hakuviagiza vyombo "vyake" vya ulinzi wamweke ndani??

Ni kwa kuwa Rais huyo mstaafu alikuwa akitumia busara na kuamini kuwa Mnyika alitumia Uhuru wake wa maoni, kama ambavyo unavyoainishwa ndani ya Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1)
Mnyika baada ya kumuita jk dhaifu, muongozo uliombwa na kutakiwa kufuta hiyo kauli.Mnyika aligoma na Mwisho adhabu yake ikawa kutolewa nje ya Bunge. Huoni tayar alipewa adhabu?Mbunge anapokuwa bungeni analindwa na kanuni za Bunge na kama adhabu ya jambo lolote atapewa kulingana na kanuni za Bunge.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
N

Nnyindojihadini

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Messages
348
Likes
215
Points
60
N

Nnyindojihadini

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2018
348 215 60
Mbona Mbunge wa Kibamba, Mheshimiwa John Mnyika alimuita, Rais wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete dhaifu na Rais huyo mstaafu hakuviagiza vyombo "vyake" vya ulinzi wamweke ndani??

Ni kwa kuwa Rais huyo mstaafu alikuwa akitumia busara na kuamini kuwa Mnyika alitumia Uhuru wake wa maoni, kama ambavyo unavyoainishwa ndani ya Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1)
Rais huyo alikuwa na akili kubwa ya kula na vipofu, nikupe mfano wa vitambulisho vya Taifa, Watanzania wangapi wamesha vipata? Zimetumika shilingi ngapi mpaka sasa katika huo mradi?
 
Forum statistics

Threads 1,250,102
Members 481,224
Posts 29,720,705