commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Mkuu,Kinga alizo nazo CAG ni katika kutimiza majukum yake ya uCAG tu,Hakuna sehem speaker atamwita CAG kuhusiana na mambo ya Auditing kuwa yamekosewa, amechelewa kutoa au kashindwa kutimiza jambo lolote katika kazi yake. Hapa speaker hana Nguvu yyt ya kumhoji CAG. Mfano hata kwa Makonda speaker asingekuwa na mamlaka yyt ya kumwita makonda kwa makosa ya utekelezaji wa majukum yake ya uRC. Makonda hata awe anachelewa kuingia ofisini, anatukana watu au anafanya mambo yyt kinyume na maadili bado bunge halina haki ya kumhoji. Makonda na CAG waliitwa na Bunge kwa kosa moja tu,KUDHARAU BUNGE. Hapa huna cha nilikua kwenye majukum yangu au nilikua wapi,Swala ni umedharau Mhimili wa Bunge na Bunge haliwez kukupa adhabu yyt nje ya onyo na kama ni kutaka ufukuzwe kazi ni wao kuwasiliana na Mhimili uliokupa ajira ambao ni Serikali. Bunge likiona makosa yako ni makubwa na hayabebeki wao ni kutoa maazimio kwenda kwa serikali na Mwisho serikali itatakiwa kutoa uamuzi juu ya jambo hilo.CAG na ofisi yake sio muhimil unaojitegemea,Huu uko chini ya serikali na kinga alizo nazo ni ktk kutimiza majukum yake ya uCAG na sio nje ya Hapo.Kama kulidharrsha bunge ni sehemu ya kazi za CAG basi hakuna shida.
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Kwanza nikupongeze umeenda straight kwenye point 100%. Maana mleta mada kaingia kwa mbwembwe mi nikadhani ana jipya kumbe nae anatudia ku copy & paste.
Kuna watanzania wanadhani kwa sababu wamesoma sheria basi wanaweza kutulisha watanzania wengine lolote lile walitakalo bila sisi kutafakari.
Msando yuko sahihi kabisa,na CAG alijojiwa kama Asad (personal).
ILe clip ni mahojiano kati ya Prof Asad na mtangazaji husika. Hakutoa maelezo kwenye kikao alichokwenda kuhudhuria bali nje ya kile kikao.
Sent using Jamii Forums mobile app