Usalama wa nchi unapimwa na nin?Je nchi ni salama?
Mbona unajishuku tulia.Nampa pole ndugu Albert, huu ni dhahiri ujambazi wa aina mpya kabisa. Tumepata fundisho, mtu akijaribu kukusimamisha na kavaa vizuri , usikubali mwambie tuongozane mpaka kituo cha polisi karibu na hapo. Na mwambie chukua nbr ya gari kama anafikiri utakimbia.
Kwa wale wapendao kuzusha mambo na kuwachonganisha watanzania haya fursa hiyo, njooni muitumie kujenga hoja zenu za kinafiki
Kwani alie iweka hapa JF amesema ni Msando? Msiwe mnaangalia picha tu muwe mnasoma na maelezo huyu alikuwa wakili huko Kenya akauwawa kwenye mazingira ya kutatanisha kwa mujibu wa mleta picha.Hii picha siyo ya Albert Msando!
Usalama wa nchi unapimwa na nin?
Umekaaa na keyboard yako ,unapata muda wa kuchati, kulala bila kusikia vilio vya watu wanaopoteza maisha kwa mkono wa binadamu mwenzao, still unauliza kama nchi ipo salama??
Waulize Sudani nchi salama ipoje??
Ishu zingine msifate mkumbo wa kauli za wanasiasa, tumieni akili zenu. Siasa inacheza na akili zenu kwa matakwa fulani
hii nchi so salama tena