Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,731
- 59,993
Wewe ni mbumbumbu. Jifunze kiswahili kisha uje na argument za maana.Kweli huna akili tofauti ya Talent na Talanta ni nini ?
Au unadhani bila Bible au watu wasiosoma Bible au kuamini Bible hawajui Talent; au Unadhani bila Bible kungekuwa hakuna Talent..., au unadhani hata hio Bible mwanzo wake iliandikwa kiswahili ?
Aisee !!!!!
Ndio maana nakuuliza maana ya talanta you are just translating from Kiswahili to English.
You are not giving us the definition.
So my conclusion is, you are stupid.