Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

Hizo False start wajifunze..., wasije wakaleta usumbufu huko Tokyo..., Niki-tune TV yangu nataka smoothness sio marudio marudio
 
Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala


Hiyo ni nafasi ya wajmaica na wamrekani na kwa adrika Nigeria ninyi mbaki na mbio.ndefu za kutumia madawa ya kienyeji ya kikikuyu ambayo wazungu wameshindwa kuyaona kwenye damu
 
Wakimbizi wote wako hivo😃Na ambaye hayuko hivo hawezi kushinda,Kama mkimbizi wenu anayeitwa Motokaa🤣🤣🤣🤣🔥
Sasa tutawafundisha kiswahili kwa nguvu hata kama hamtaki wakimbizi kizungu ni Refugee hapo ulitakiwa kuandika wanariadha
 
Back
Top Bottom