naomba kujua wizara inayohusika na ulinzi wa mipaka yetu inafanya nini??halafu naomba kujua border kati ya tanzania na kenya ipo juu mlimani kilimanjaro?
View attachment 67877
Hawa jamaa ni baada ya kufika kileleni na kukuta bendera ya kenya
View attachment 67878
hapa wapo njiani kuelekea juu
Mkuu huo ni Mlima Kenya na sio Kilimanjaro
Mkuu SS,
Mlima Kenya nao uko capped na barafu??? Najaribu kukumbuka jiografia tulisoma zama zile...
mkuu mlima kenya nauona nikiwa moshi,hauna barafu na ni mfupi sana,kilimanjaro ndio mlima wenye barafu peke yake africa
naomba kujua wizara inayohusika na ulinzi wa mipaka yetu inafanya nini??halafu naomba kujua border kati ya tanzania na kenya ipo juu mlimani kilimanjaro?
View attachment 67877
Hawa jamaa ni baada ya kufika kileleni na kukuta bendera ya kenya
View attachment 67878
hapa wapo njiani kuelekea juu
mkuu huo ni mlima kenya na sio kilimanjaro
naona watanzania sote sasa tumeambukizwa udhaifu.
Kila kitu tunalalamika tu na atutendi chochote lakini wengine waki act ni kelele tu, ulitegemea mkenya aone fahari gani kuwa juu ya mlima mrefu Afrika zaidi ya kusema "hata Mkenya aliwahi kufika hapa"!
Hivi yule Mtanzania aliyepanda mlima Everest na kuonyesha bandera ya Tanzania ina maana alitaka kuugeuza uwe wa kwetu!!?
Kuna vitu vingi ambayo inabidi tufanye kwa vitendo kukabiliana na hawa wenzetu badala ya kulaumu kila kitu wanachokifanya wao, hebu Mtanzania aende juu ya mlima Kenya (ambao ni wazi kwa yeyote pia) na aonyeshe bendera yetu yenye rangi nne (njano, nyeusi, kijani na bluu) alafu tuone kama nao watalalamika