Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,563
Reaction score
7,321
Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.

Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi wameshangazwa Ofisi za Balozi za Tanzania kuwa katikati maeneo ya kibiashara (CBD - Central Business District) tena ikiwa imekodi vyumba kwenye jengo la kibiashara la Java House au jina lingine ni Reinsurance Plaza katika Ghorofa ya 9, katika barabara ya Taifa (Taifa Road), Jengo ambalo lina ofisi nyingi za kibiashara. Ukilinganisha na Balozi nyingi zilizo na majengo yake Binafsi katika mitaa kama Runda, Gigiri, Riverside Drive, Lavington, Upper Hill na mingineyo.

Wakenya wanahisi hatukupaswa kukodi vyumba kwenye jengo la kibiashara badala yake tulipaswa kuwa na Jengo letu la ubalozi wetu

Screenshot_20250522_124010_Instagram.jpg

Screenshot_20250522_123924_Instagram.jpg

View attachment 3341862

View attachment 3341861

View attachment 3341840

Okay sawa
 
Sasa wakenya aka machokoraa yakishangaa nayo ni issue??
 
Ndugu wakenya na huyu ndio waziri wetu wa ulinzi anawacheke kikomamndo komando.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Attachments

  • Screenshot_20250522-162038.png
    Screenshot_20250522-162038.png
    1 MB · Views: 15
Wakenya wana nyege sana,ubalozi ni wa Tanzania sasa nyinyi unawahusu nini hata ukiwa uko juu ya mti?Malizaneni na matatizo yenu iwacheni Tz isonge kivyake.
 
Tz inawajua wakenya vizuri je lilejengo letu tulilokuwa tumenunua hapo Nairobi baada yakuvunjika jumuiya mkalichukua pamoja ndege zote za jumuiya mnataka tujenge mkataperi tea neno nyag'au nyerere ailwaita kwasababu hiyo akufunga na ubarozi tunawajua vizuri sana
 
Back
Top Bottom