Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Mbona UK ana ukali kama wa Dk.Magufuli,kama sikosei amekwisha watimua Mawaziri na Viongozi wala rushwa, Kenyatta hana mchezo kabisa nisijue mambo mengine.
wao wlichagua yule mvuta bangi ngoja waisome namba sasa.
Inasikitisha sana kuwa na watanzania kama wewe!Propaganda za MACCM hazina mashiko kabisa.
Kuna Liccm Jana lilikwama ada ya mtoto, likawa linanipigia simu kunikopa, nikaliambia liisome namba! silipi hata senti tano.
Si uende huko Kenya ukajikombe vizuri basi?Wenzio Kenya wako matawi mengine, huwezi linganisha naTz. US$ haizidi Ksh. 100, sie twachezea Tshs 2350......
Propaganda za MACCM hazina mashiko kabisa.
Kuna Liccm Jana lilikwama ada ya mtoto, likawa linanipigia simu kunikopa, nikaliambia liisome namba! silipi hata senti tano.
Si uende huko Kenya ukajikombe vizuri basi?
Wenzio Kenya wako matawi mengine, huwezi linganisha naTz. US$ haizidi Ksh. 100, sie twachezea Tshs 2350......
Usidhani hiyo 100 ya kenya ni sawa na ya Tz upatikanaji wake, hauipati hovyo, neno mia na elfu mbili visikuchanganye.
Lisaidie Lipumbavu lenzio kulipa ada ya mtoto.sasa tukusaidiaje...?!!
Kuna jamaa yangu wa pande za Nairobi akasema"Now you have a president "
Tangu Watanzania tulambe dume kwa kumchagua Dr.Pombe Magufuli jirani zetu Wakenya wamekuwa wakitutamani sana na kuombea kama nao wangeweza kupata Raisi kama wetu!
Nilikuwa huko juzi na kila niliyeongea naye kwa kweli wamevutiwa sana na kasi na utendaji wa Magufuli na wangetamani kama na wao wangekuwa na Raisi kama Magufuli hasa kile kitendo cha kufuta safari za nje za Viongozi wanasema wangetamani Uhuru Kenyata naye angefanya hivyo kwa maana jamaa anashinda angani!