Wakenya wamlilia Magufuli wetu

Wakenya wamlilia Magufuli wetu

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Tangu Watanzania tulambe dume kwa kumchagua Dr.Pombe Magufuli jirani zetu Wakenya wamekuwa wakitutamani sana na kuombea kama nao wangeweza kupata Raisi kama wetu!

Nilikuwa huko juzi na kila niliyeongea naye kwa kweli wamevutiwa sana na kasi na utendaji wa Magufuli na wangetamani kama na wao wangekuwa na Raisi kama Magufuli hasa kile kitendo cha kufuta safari za nje za Viongozi wanasema wangetamani Uhuru Kenyata naye angefanya hivyo kwa maana jamaa anashinda angani!
 
wao wlichagua yule mvuta bangi ngoja waisome namba sasa.
 
Propaganda za MACCM hazina mashiko kabisa.
Kuna Liccm Jana lilikwama ada ya mtoto, likawa linanipigia simu kunikopa, nikaliambia liisome namba! silipi hata senti tano.

Halafu ndo unajiona mwenyewe mjanjaaa umemkomoaaa, yaani wabongo banaaaa
 
kile kitengo cha propaganda za ccm za uchaguzi kimebdilisha uelekeo
 
hata Mrisho alianza hivihivi, tusubiri hata mwaka uishe. siku sita tuu tumeshaanza kukurupuka
 
hata Mrisho alianza hivihivi, tusubiri hata mwaka uishe. siku sita tuu tumeshaanza kukurupuka

Wizara ya Ujenzi pia walisema hivyo hivyo matokeo yake kila Mtz anayajua lami ktk Mt mpaka Mz, Dar - Mwanza/Bukoba/Musoma, Iringa -Dodoma n.k
 
sidhani kama wako sahihi maana ccm wanajaribu kuficha maovu yao, 😜😜
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom