Wakenya waja na Taifa A3 Laptop

Wakenya waja na Taifa A3 Laptop

kama mwezi tu uliopita nimemtengenezea mtu computer, si kitu cha ajabu kaka na watu wanatengeneza sana tu. tena siku hizi kwa laptop wamezidi kufanya mambo rahisi kuna barebone zimetengenezwa kila kitu unachomeka tu cpu, ram na hdd.

313qDucD3nL._SX355_.jpg

hii ni barebone imetengenezwa na msi kwa ajili ya gamers, inaingia processor yoyote ya haswell mobile, unaweza ipeleka kampuni yoyote ya laser printing ukaeka logo yako wala mtu asijue imetengenezwa na nani

Usichanganye kufanya assembly na kutengeneza from designing level,
hapo kinachofanyika nikukusanya kusanya tu raw devices material, kama ambacho nahisi wamefanya hao wakenya.

Kaka ingekuwa hivyo ndivyo ilivyo basi devices nyingi zingekuwa zimetengenezwa china,

Apple wenyewe tu hawawezi kufanya assembly ya devices zao Marekani, wanafanyia China kwasabu ya labor forces, mpaka Obama alimuuliza Steve jobs why ipo hivyo.

Mwaka 2012 ndo baadhi ya Mac zilikuwa assembled in US
imac-assembled-usa1.jpg

Nokia nao wanafanyia baadhi ya device zao China n.k
lakini utaona zimeandikwa Assembly in China/Thailand or whatever ila Sio Made in China/Thailand.
 
laptop/desktop utengenezaji wake si kama wa simu.

mwezi uliopita na mimi nimejenga computer yangu mwenyewe vifaa nikitolea hapa hapa tanzania na baadhi ya thread zipo humu wakati nikiulizia vifaa. kila kitu cha desktop/laptop kinauzwa kivyake unanunua unapoona mwenyewe bei rahisi na kujenga computer yako. hivi ni baadhi ya vifaa vinavyotumika kujenga computer.

cpu- intel au amd
hdd/ssd- samsung, toshiba, san disk, intel, crucial nk wapo wengi sana
ram- crucial, kingstone, nk wanafanana na hao hapo juu wengi
motherboard- gigabyte, msi, corsair, asus nk
psu (powersuply)- silverstone nk
case- silverstone, corsair, shuttle nk

kuna vitu kama gpu, mlango wa cd, feni ambalo sio stock na vyengine.

wakati simu unatoa order toka makampuni yanayotoa hivyo vifaa na inahitaji wataalamu kudesign na kuvifunga pamoja ili vifanye kazi, computer inakuwa assembled gheto tu, hakuna haja ya mtaalamu almost kila mtu anaweza tengeneza computer akipata vifaa hivyo hapo juu.

computer zipo mature sana usikariri utengenezaji wa simu na mambo ya assembly ukafkiri na computer navyo ni hivyo hivyo, nenda kvd utapata motherboard, nenda mosque street utapata processor, nenda aggrey gpu zipo, ram zimejaa kibao, hdd za kumwaga, case tumia la computer yako ya zamani
 
Kuassemble pc ni kitu cha kawaida sema hawa Nordic walianza zaman kuliko wakenya sema wamestay low tu kinachowabeba Kenya ni jitihada za taifa katika kuendeleza technology
 
laptop/desktop utengenezaji wake si kama wa simu.

mwezi uliopita na mimi nimejenga computer yangu mwenyewe vifaa nikitolea hapa hapa tanzania na baadhi ya thread zipo humu wakati nikiulizia vifaa. kila kitu cha desktop/laptop kinauzwa kivyake unanunua unapoona mwenyewe bei rahisi na kujenga computer yako. hivi ni baadhi ya vifaa vinavyotumika kujenga computer.

cpu- intel au amd
hdd/ssd- samsung, toshiba, san disk, intel, crucial nk wapo wengi sana
ram- crucial, kingstone, nk wanafanana na hao hapo juu wengi
motherboard- gigabyte, msi, corsair, asus nk
psu (powersuply)- silverstone nk
case- silverstone, corsair, shuttle nk

kuna vitu kama gpu, mlango wa cd, feni ambalo sio stock na vyengine.

wakati simu unatoa order toka makampuni yanayotoa hivyo vifaa na inahitaji wataalamu kudesign na kuvifunga pamoja ili vifanye kazi, Computer inakuwa assembled gheto tu, hakuna haja ya mtaalamu almost kila mtu anaweza tengeneza computer akipata vifaa hivyo hapo juu.

computer zipo mature sana usikariri utengenezaji wa simu na mambo ya assembly ukafkiri na computer navyo ni hivyo hivyo, nenda kvd utapata motherboard, nenda mosque street utapata processor, nenda aggrey gpu zipo, ram zimejaa kibao, hdd za kumwaga, case tumia la computer yako ya zamani

Unachekesha sana yaani unambie jinsi wanavyofanya assembly ya simu na computer ni tofauti !

Labda kwasabu unaona availability ya vitu vinavyounda computer ni kubwa kuliko simu.
Wewe unaepata display tayari imeungwa kilakitu unafanya kazi yakupachika tu unataka ujiite unatengeneza computer.

wenzako hawa
Apple-Foxconn-China-620x370.jpg

wanacheza na display from head to toe, afu bado tunaita wanafanya assembly, ila wewe uliyeenda kariakoo kuchukua full display nakupachika kwenye pc tukuite unatengeneza.

I bet to stay away from this.
 
nani kasema kuhusu kutengeneza display au cpu au ram? mwanzo wa thread hadi mwisho tunaongelea kujenga pc yako kutokana na available resource, even apple hatengenezi kitu kuanzia display hadi processor kuja ram hadi hdd ananunua na kueka pamoja.

na kama unafikiria mtu anakaa na kutengeneza display unakosea tena sana sababu vitu kama hivyo vinatengenezwa na mashine watu hawawezi kumeet demand. lazima kuwe na factory ambayo inauwezo wa kutengeneza kwa wingi. fikiria kwenu kwa mwaka mna display ngapi? kuanzia simu, saa, tv, computer nk utakuta duniani kuna display nyingi kushinda hata watu Zingekuwa display zinatengenezwa na watu then watu wote duniani tusingetosha ingebidi kutafutwe alien kutoka mars waje kusaidia.

just mfano display ya 4k aka ultra hd

resolution 4096 x 2160

ukizidisha unapata 8847360

kuna pixel milioni nane, na kama ni rgb kila pixel ina red blue na green mara milioni nane, itachukua muda gani kutengeneza? almost imposible,

ndio maana factory kazi yake ni kutengeneza hivyo vitu then makampuni na watu wengine kuvieka pamoja kupata kitu kinachofanya kazi.

na kama unasema assembly ya pc na simu ni sawa, hebu nishauri ram ya simu yangu imekufa nitapata wapi nyengine? au nataka ku upgrade processor ya simu hii ipo slow napata wapi nyengine? na wale wenye simu zenye 4gb nao wanalalamika internal memory ndogo washauri basi wapi wakanunue internal memory kubwa waongeze kama pc tunavyoongeza hdd au ku upgrade kwenda ssd.
 
kipi anachotengeneza? hebu kitaje kwenye pc

Tatizo lako wewe nikuchanganya haya mambo na hisia binafsi, ukiniambia apple hatengenezi baadhi ya vitu sawa ntakuelewa mana vinajulikana, ila unambie hatengenezi kitu kabisa, hapo itabidi unipe ushahidi kwanza, tofauti na hisia binafsi.
 
Ulitakiwa uulize hilo swali toka mwanzo sio kubisha kitu usichokijua.

Kuna kampuni inaitwa ifixit kazi yao ni kufungua vifaa kila vikitoka na kutoka kwao wanatuambia each and everything kimetoka wapi.

Angalia ufunguzi wa imac hii mpya ya 4k halafu niambie apple wametengeneza nini

https://www.ifixit.com/Teardown/iMa... Teardown/30260?_e_pi_=7,PAGE_ID10,3478671823
 
Tatizo lako wewe nikuchanganya haya mambo na hisia binafsi, ukiniambia apple hatengenezi baadhi ya vitu sawa ntakuelewa mana vinajulikana, ila unambie hatengenezi kitu kabisa, hapo itabidi unipe ushahidi kwanza, tofauti na hisia binafsi.
Snipa sasa unaleta ubishi wa "ngoja nitafute pa kutokea"umemuelewa vizuri Chief Mkwawa isipokuwa wewe unatafuta ushindi si kufahamu kwa style hiyo utafeli maana mkwawa achelewi kukurushia maushahidi concrete ohoo!
 
Si mfanye yenu????????
Tanzania maneno mengi sana vitendo hakunaaaaa
Magufuli ameharibu daslam ameweka vichochoro kama ile morogoro road ndo nini sasa hivyooo

wanasema assembly assembly while tanzania hatujafanya ata assembly ya charger..hongera kenya
 
wanasema assembly assembly while tanzania hatujafanya ata assembly ya charger..hongera kenya

Tanzania zimejaa kibao

-tuna piki piki zinaitwa mkombozi
- kuna simu zinaitwa GSM (za jamaa wa homeshoping)
-ukizunguka maduka ya simu kuna brand za ajabu ajabu Mara sjui disko nk

Kubrand kitu au Ku assemble hakuhitaji ujuzi kunahitaji hela, ukiwa na hela then unatengenezewa na wachina.

Siku Kenya wakifanya invention ya kitu cha ndani ya laptop au wakianza kutengeneza component zao then ndio watakuwa na haki ya kujigamba
 
Nice step ahead, sio Tz, hakuna research and development funds, innovation and scientific projects. Kila kitu from China and Dubai or India. Hata products za Keko furniture zinaozea pale for just 10%.Poor Tanzania!

Mkuu hardware na software zote zinatoka CHINA na USA - wao wana-assemble tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom