Mt Meru the majestic and second tallest mountain in Tanzania surrounded by the beautiful breathtaking Arusha national Park, the forth or fifth tallest mountain in Africa, once tallest than Kilimanjaro before volcanic eruption.Want to know more about mt.meru and singida.Landing there very soon.
Arusha town
Mt Meru the majestic and second tallest in Tanzania forth or fifth in Africa, once tallest than Kilimanjaro before volcanic eruption.
Singida the central region close to Dodoma famous by plenty of its cheap sweet organic chickens, sunflowers, parks and beautiful scenery but moreover a lot of beautiful and you can't find in Kenya.[/QUOTE
Lol.Mt Meru the majestic and second tallest mountain in Tanzania surrounded by the beautiful breathtaking Arusha national Park, the forth or fifth tallest mountain in Africa, once tallest than Kilimanjaro before volcanic eruption.
Singida the central region close to Dodoma famous by plenty of its cheap sweet organic chickens, sunflowers, parks and beautiful scenery but moreover a lot of beautiful and sexy chics you can't find in Kenya.
Lol.
.sexy chics. Thanks but I am not interested in those 'sex objects.'
Stop quoting me multiple timesLol.
.sexy chics. Thanks but I am not interested in those 'sex objects.'
karibuni sana majirani...hutajutia kutembelea bongoLol.
.sexy chics. Thanks but I am not interested in those 'sex objects.'
Hivi kumbe najua ni watu wa kaskazini tu ndio wanaenda kaskazini December kumbe mpaka wa Kenya huwa nao wanahamia kaskazini? Do huko kaskazini kunaniiDecember Arusha na Moshi huwa kuna nyomi sana.. mwendo wa nyama na beer! Sehemu za bata huwa ni shazi
Wanaendaga sana.. sizani kama kuna mkenya ambae anakipato cha maana hajawahi sogea Arusha kubarizi. Kama kungekua na train ya Nai-Arusha ingekua inajaza sana kipindi hiki na kipindi cha uchaguzi wao, huwa wanazuga kuja kula bata kumbe wana kimbia kuchinjanaHivi kumbe najua ni watu wa kaskazini tu ndio wanaenda kaskazini December kumbe mpaka wa Kenya huwa nao wanahamia kaskazini? Do huko kaskazini kunanii
Ubaguzi wa rangi? Wanabagua watu gani? Sijawahi fika huko.Lol..... How many tyms have I quoted u?
Anyway the place is fantastic. I hope Kenyans don't get harassed there.
Watz wa kilolo na mpakani mwa Burundi ni wazuri japo wana ubaguzi wa rangi. Wabongo matajiri ndio wana kiburi kupitiliza. They detest Kenyans.
πππ Kweli naona wana mahaba ya hatari na Tanzania mpaka marketing ya aina hii inafanyika ujue sio mchezo wanaingia kwa wingi zaidi hata bei ni ghali mno laki 6 kwa siku 4 ni pesa nyingi sana kwa hayo maeneo wanayotembeleaWanaendaga sana.. sizani kama kuna mkenya ambae anakipato cha maana hajawahi sogea Arusha kubarizi. Kama kungekua na train ya Nai-Arusha ingekua inajaza sana kipindi hiki na kipindi cha uchaguzi wao, huwa wanazuga kuja kula bata kumbe wana kimbia kuchinjana
Mbona mimi naona iko fair sana. Hapo si kila kitu umeshalipiwa, pakulala, misosi na usafiri. Halafu una buy experience, ambayo peke yako kuichora inakua ngumu. Hapo ukisha ingia kwenye usafiri umemaliza hamna kuwaza kila kitu kiko sorted. Wewe ni ku enjoy tu with people of your kind. Mwisho wa siku the organiser inabidi apate kafaida kidogo kwa kuku ondolea haza ya kuhangaika.Kweli naona wana mahaba ya hatari na Tanzania mpaka marketing ya aina hii inafanyika ujue sio mchezo wanaingia kwa wingi zaidi hata bei ni ghali mno laki 6 kwa siku 4 ni pesa nyingi sana kwa hayo maeneo wanayotembelea
Ukifika dar nitafute uwe mgeni wangu,na tudumishe ujirani mwema wetuLol..... How many tyms have I quoted u?
Anyway the place is fantastic. I hope Kenyans don't get harassed there.
Watz wa kilolo na mpakani mwa Burundi ni wazuri japo wana ubaguzi wa rangi. Wabongo matajiri ndio wana kiburi kupitiliza. They detest Kenyans.
Ukifika dar nitafute uwe mgeni wangu,na tudumishe ujirani mwema wetu