Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,880
Tanzania tutembee tu kifua mbele kama kawaida, huko Kenya saivi ni wakati sasa ambao wakenya wanaanza kutoa zile pesa wamekua wakidunduliza kwa mwaka mzima ili tu watimize ile ndoto yao ya muda mrefu kuona Tanzania.

Karibuni majirani kwa wingi. 😄
Ila hakikisheni mnaheshimu na kufuata sheria zetu za nchi.

DtzEu6LXgAAeMUo.jpeg
 
Want to know more about mt.meru and singida.Landing there very soon.
Arusha town
Mt Meru the majestic and second tallest mountain in Tanzania surrounded by the beautiful breathtaking Arusha national Park, the forth or fifth tallest mountain in Africa, once tallest than Kilimanjaro before volcanic eruption.

Singida the central region close to Dodoma famous by plenty of its cheap sweet organic chickens, sunflowers, parks and beautiful scenery but moreover a lot of beautiful and sexy chics you can't find in Kenya.
 
Mt Meru the majestic and second tallest in Tanzania forth or fifth in Africa, once tallest than Kilimanjaro before volcanic eruption.

Singida the central region close to Dodoma famous by plenty of its cheap sweet organic chickens, sunflowers, parks and beautiful scenery but moreover a lot of beautiful and you can't find in Kenya.[/QUOTE
Mt Meru the majestic and second tallest mountain in Tanzania surrounded by the beautiful breathtaking Arusha national Park, the forth or fifth tallest mountain in Africa, once tallest than Kilimanjaro before volcanic eruption.

Singida the central region close to Dodoma famous by plenty of its cheap sweet organic chickens, sunflowers, parks and beautiful scenery but moreover a lot of beautiful and sexy chics you can't find in Kenya.
Lol.

.sexy chics. Thanks but I am not interested in those 'sex objects.'
 
Hivi kumbe najua ni watu wa kaskazini tu ndio wanaenda kaskazini December kumbe mpaka wa Kenya huwa nao wanahamia kaskazini? Do huko kaskazini kunanii
Wanaendaga sana.. sizani kama kuna mkenya ambae anakipato cha maana hajawahi sogea Arusha kubarizi. Kama kungekua na train ya Nai-Arusha ingekua inajaza sana kipindi hiki na kipindi cha uchaguzi wao, huwa wanazuga kuja kula bata kumbe wana kimbia kuchinjana
 
😂😂😂 Kweli naona wana mahaba ya hatari na Tanzania mpaka marketing ya aina hii inafanyika ujue sio mchezo wanaingia kwa wingi zaidi hata bei ni ghali mno laki 6 kwa siku 4 ni pesa nyingi sana kwa hayo maeneo wanayotembelea
 
Kweli naona wana mahaba ya hatari na Tanzania mpaka marketing ya aina hii inafanyika ujue sio mchezo wanaingia kwa wingi zaidi hata bei ni ghali mno laki 6 kwa siku 4 ni pesa nyingi sana kwa hayo maeneo wanayotembelea
Mbona mimi naona iko fair sana. Hapo si kila kitu umeshalipiwa, pakulala, misosi na usafiri. Halafu una buy experience, ambayo peke yako kuichora inakua ngumu. Hapo ukisha ingia kwenye usafiri umemaliza hamna kuwaza kila kitu kiko sorted. Wewe ni ku enjoy tu with people of your kind. Mwisho wa siku the organiser inabidi apate kafaida kidogo kwa kuku ondolea haza ya kuhangaika.
 
Karibuni katika nchi ya maziwa na asali. Sasa mnaelewa kwanini hatutaki EAC federation, hatutaki matumizi ya IDs wala hatutaki single tourists visa. Sasa kama wakenya wanapigania kuja Tanzania, hali ikoje kwa wazungu?.

"Tanzania yetu ndio nchi ya kutukuka, kote ulimwenguni watu wote watambua, Tanzania yetu ndio nchi ya furahaaa."
 
Lol..... How many tyms have I quoted u?
Anyway the place is fantastic. I hope Kenyans don't get harassed there.
Watz wa kilolo na mpakani mwa Burundi ni wazuri japo wana ubaguzi wa rangi. Wabongo matajiri ndio wana kiburi kupitiliza. They detest Kenyans.
Ukifika dar nitafute uwe mgeni wangu,na tudumishe ujirani mwema wetu
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom