REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
Tanzania tutembee tu kifua mbele kama kawaida, huko Kenya saivi ni wakati sasa ambao wakenya wanaanza kutoa zile pesa wamekua wakidunduliza kwa mwaka mzima ili tu watimize ile ndoto yao ya muda mrefu kuona Tanzania.
Karibuni majirani kwa wingi. 😄
Ila hakikisheni mnaheshimu na kufuata sheria zetu za nchi.
Karibuni majirani kwa wingi. 😄
Ila hakikisheni mnaheshimu na kufuata sheria zetu za nchi.