kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,736
mda mchache uliopita,mwanasiasa mashuhuri nchini kenya na senator wa jiji la nairobi,mike mbuvi almaarufu kama mike sonko,ameruhusu polisi waue kwa risasi mtu yoyote atakaye kutwa anavamia eneo lake makazi huko karen-kusini mashariki mwa Nairobi.
ametoa kauli hiyo baada ya kupost video inayo onyesha watu wakivamia eneo lake.
ametoa kauli hiyo baada ya kupost video inayo onyesha watu wakivamia eneo lake.