mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,966
- 37,765
Kama inachezwa mbona usiitoe kama mfano unatoa Ile ngoma iliyodharauliwa?
Maana yangu ni kwamba,kama unafanya vizuri utakubalika tu wala hakuna mchawi wa kutafuta.
Simply hao wengine hatuwajui sababu hawako serious,hakuna lele kwenye sanaa zaidi ya bidii,sasa wanatafuta huruma ya stations zao badala ya kiwekeza bidii,na nyinyi hutuaminisha mkenya ni mtu wa bidii.