Wakenya hawanaga lugha ya mahaba ukitaka kujua sikiliza nyimbo zao za mapenzi ni msuli mwanzo mwisho
Wakenya wamejaaliwa papuch tamu co mchezo
skopio mi mbona sikuoni umefia wapi.?au ushatekwa na bashite?Habari JF...
Huwa najiuliza mbona siwaoni wakenya kwenye jukwaa la love connect....
Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???
Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa Tanzania???
Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???
Ushawai date Mkenya?Wanaume wa Kenya hawajui mahaba kabisaa
Wacha uongo ww jaribu hapa uone ? U na date mtu wa shamba ili useme wakenya hawajui sioNaam!
NdukiMhh!! Lkn yako it's the best
Sante
Ushawai fika kenya ama unaona kwa tv? TuMadem wa Kenya wanasura mbaya kinoma
wee....alishajazwa ball kitambo ata anainaka kitumbo wazi kama fashion vile..baki tu na warembo wa kwetu kenyanimemwona huyu mdada leo kwa huu wimbo. nani ako na namba zake anipe nimsalimie?
kweli bongo kuna warembo
whaa. wanaume wako rada aiseewee....alishajazwa ball kitambo ata anainaka kitumbo wazi kama fashion vile..baki tu na warembo wa kwetu kenya
Sante