Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 396
- 687
Ilianza maneno Mlima Kilamanjaro ikaja Oldupai Gorge wakaibukia ktk BRT mwendo kasi hipo Kenya na sasa wamekuja na hii kubeba hadi bendera yetu........nadhani after 50 years later Watasema Nyerere na Magufuri alikuwa mkenya pia.......Badilikeni sasa enough is enough 😂😂😂