nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Kwenye RED, ni vyema na haki ukajua umuhimu wa kuedeleza majadiliano. Hivi fikiria unafungua siku moja JF na usikute mtu hata mmoja ameandika chochote utajisikiaje? Je, utafungua pia JF? Hivyo mtu yeyote anayefungua huu mtandao jua anafurahia maoni yako, ya yule na yangu pia. Bila kuchangia hakuna mtandao. Kwa umri wangu mdogo nilio nao, nikijaribu kupembua kuna watu wa JF ambao wanatunga hadithi, wengine kuna aina fulani ya uhalisia. Niishie hapa katika majadiliano yetu kwa kuwapongeza wewe na FP kwa uhalisia.kwani hapa kuna mashindano ya hoja.
anyway, ningekuwa wewe nisingejibu.
unajua i dont get a point as to why people here quote me or reply to me.
jamani punguzeni jazba, mwenzenu najipa raha tu nicheke then niende zangu home.Nyie mmekazana na mambo ya ndoa!
ah poleni
Sio kweli wapo wake wanaojiheshimu sana na uwezi kuwaeleza upuuzi ukaenda nao sawa, inategemea huyo mke we mwenyewe ulimpata vipi na ulikutana naye wapi, kama ni vodafasta lazima umegewe.
Mwanaume huna mapenzi huna utani hucheki na mkeo ni kununa mke hana uhuru na wewe anakuogopa humpi nafasi ya kuwa marafiki ukiwa home unaleta ubosi wako hutoki out na mkeo,mwanamke gani atavumilia ujinga huu watatoka sana tu hamjui kuwaenzi wanawake mnafikiri na watumwa wenu ndo mkome wanaume wenye tabia hizo subirini yesu arudi ayarekebishe.
Anaikinai ya jamaa maanake anaamka nayo kila siku + performance ndogo = ​Lazima utasaidiwa tu
Kama ni mwanamke ULIYEOLEWA ukikutana na mvulana ambaye KAOA au HAJAOA ukae ukijua kuwa unapomvulia nguo ANAKUDHARAU. Hata kama atkuhakikishia ya kuwa anakupenda sana ATAKUDHARAU TU
Kama ni mwanamke ULIYEOLEWA ukikutana na mvulana ambaye KAOA au HAJAOA ukae ukijua kuwa unapomvulia nguo ANAKUDHARAU. Hata kama atkuhakikishia ya kuwa anakupenda sana ATAKUDHARAU TU
mie nilidate na hubby for 6 years mpaka kuja kuoana.
baada ya ndoa akaanza kutoka tena kwa kunionyeshea live kabisa bila kificho wala woga.
basi na mie nikaona niingie ngomani nicheze, kwahiyo kwa sasa kila mtu anacheza ngoma kivyake tu, ila cha ajabu baada ya mie kuanza kuonja nje, naona mwenzangu kasi kapunguza yani ni kama vile kachoka ngoma za nje sasa anapenda acheze ndani wakati mie ndo kwanzaaaaaaa nimemkinai.
kwa hiyo ndo hivyo bro, nadhani nimekujibu
hii ndoa yako unavoifanya? ila kumbuka mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!
unadhani itakuaje mumie!
kuniacha hawezi maana design yenyewe ya affair tuliyonayo hatuwezi achana.
maana haijulikani kama tupo pamoja ama la! yani hadi raha
am a big gal, kama mume na hawara walikua wanitumia sms kwamba wametoka gesti na sikufa wala nini sembuse kibuti cha kidumu!
sina mapenzi ya dhati kwa yeyote dunia hii, naumizwa na mi naumiza yeyote! potelea mbali
Na yeye kaoa au yupo yupo bado?
Anyways, wewe ndio uliyevaa hiyo 'skuna', unajua haswa wapi inabana. Sisi wa nje tunawezaje kusema hakikubani? Maisha ya ndoa ni mtihani haswa....Kuna mwingine alikuwa akirudi anamwambia mkewe,...husikii perfume inanukia? Mbona huulizi ya nani? Hii ni ya 'fulani' bwana.....Mbaya zaidi anakuja naye anamuacha kwenye gari, anaingia ndani kuoga, kisha huyoo....viwanja.
hiyo kali,mie hawezi kumleta home maana anajua bangi zangu ni za grade ipi nitmwagia ndoo ya mafuta au maji moto maana huo ni uchokozi.
jamaa yangu ameoa pia, mi sinaga time na mabachelor. N huyo hawara wa mume wangu pia ni muke ya mtu na watoto 3 juu.
cha ajabu naona hubby kapunguza kasi nje baada ya mie kuanzisha kasi nje.
yaani hata afanyaje haniumizi, nachojali ndoa iendelee tu atleast hadi watoto wawe wakubwa.
Kama kasi inapunguzwa, labda huu ni wakati muafaka wa nyie kukaa kama kamati ili kuyaongea. Na muyaongee kweli kweli bila kuoneana haya, then muanze upya. Manake kwa kasi yenu mnaweza mkauana bure na msiweze hata kuona huo ukubwa wa watoto wenu mnaousubiri.
mbona ndoa nyingi zipo hivyo na hazijabomoka wewe1
kwa taarifa yako wake wengi wanamegwa nje tena sanaaaaaaa tu wakirudi ndani ni best wives.
hata mie ni pretender namba moja!
ndoa status tu kwangu, kwahiyo siwezi kuivunja best.
mwanamke mpumbavu ni yule anayemegwa nje na kufumaniwa.
kweli au unatania?tutauana vipi? sema kila mmoja ataulia huko huko nje maana kwangu unyumba anapata tena akijituma sana na ninahakikisha anamalizia nje, asije nimwagia mimaji ya mahawara zake bure.
aka! kuyaongea amejaribu sana maybe nikimchoka huyu jamaa ndo nitafikiria kumfikiria
kweli au unatania?
tutauana vipi? sema kila mmoja ataulia huko huko nje maana kwangu unyumba anapata tena akijituma sana na ninahakikisha anamalizia nje, asije nimwagia mimaji ya mahawara zake bure.
aka! kuyaongea amejaribu sana maybe nikimchoka huyu jamaa ndo nitafikiria kumfikiria