Kwahiyo huyo mmoja ndo umekonkludi wake zetu wote wana tabia hiyo.
snowhite unaitwa huku. Afu bahati nzuri dogo ana garry lake atakupamo lift. Bila hii thread tungejuaje ana garrri?
Unanyoosheaje kidole wazinzi wakati na wewe uu mmoja wapo? nimedhani baada ya kujitongozesha na kwa kuwa unajua ni mke wa mtu angalau ungemsemesha kidogo ajirudi akaheshimu ndoa yake, kumbe na wewe ulitongozeka ukala vya watu.
Aibu aibu aibu ..............
hahahahaaaaaa we ukienda kwa mkoloni tu wifey anakukuruka huku LOL........
JF raha sana
Unanyoosheaje kidole wazinzi wakati na wewe uu mmoja wapo? nimedhani baada ya kujitongozesha na kwa kuwa unajua ni mke wa mtu angalau ungemsemesha kidogo ajirudi akaheshimu ndoa yake, kumbe na wewe ulitongozeka ukala vya watu.
Aibu aibu aibu ..............
ila we mleta thread umejiaibisha tu unasema safari ya sokoni iliishia gesti huko
gest alienda mwenyewe si mlienda pamoja........!!!!!!!na kumgegeda ukamgegeda
Kwahiyo huyo mmoja ndo umekonkludi wake zetu wote wana tabia hiyo.
snowhite unaitwa huku. Afu bahati nzuri dogo ana garry lake atakupamo lift. Bila hii thread tungejuaje ana garrri?
ila we mleta thread umejiaibisha tu unasema safari ya sokoni iliishia gesti huko
gest alienda mwenyewe si mlienda pamoja........!!!!!!!na kumgegeda ukamgegeda
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.
Hili neno la kulalana la zamani kweli kweli...kaja kumsema JF wakati wanakaa mtaa mmoja angemwambia mda ule ule
tena kabla hawajaenda kulalana........wameshalalana ndio anakuja kuanzisha thread
kaja kumsema JF wakati wanakaa mtaa mmoja angemwambia mda ule ule
tena kabla hawajaenda kulalana........wameshalalana ndio anakuja kuanzisha thread
Ukisoma katikati ya mistari utagundua tu dogo anajishaua. Hamna lolote.
Babu umemstukia eeee? mashauzi classic.com! Gari yenyewe fun cargo
Kila mtu hariziki na mwenzie.
Kila mtu hariziki na mwenzie.