Wake za watu katika nyumba za kupanga.

Wake za watu katika nyumba za kupanga.

we nawe uwa una coment ufala tu,si uwe una creat hizo nyuzi za akili? tumbili wewe,alafu nishakuona karibia kila thread.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] safi mkuu,watu wakuda kama hawa,wape kubwa tu
 
Mkuu usione sifa... Utatendewa jambo ambalo litaacha vinywa vya watu wazi.
Nyie ndiyo mnafanya watu waonekane wabaya.
Ujasiri wa kuzoea wake za watu mnautoa wapi?

[HASHTAG]#nakuonya[/HASHTAG] mkuu... Hiyo tabia acha.
Kufanya kosa sio kosa bali kulirudia.

Usijesema hukuonywa
Mkuu Si naskia sikuhizi mnashtaki tu police,hakuna mambo ya Marinda
 
Siku ya kufumaniwa

1.Aibu yake hutoibeba kamwe
2. Utahama kwa aibu kubwa
3. Usipokuwa na uwezo wa ku-handle stress utajiua
4.Utarekodiwa huku ukiwa unatoa miguno ya uchungu wa TiGo pesa
5. Mwenye mke anaweza akakuua kabisa.

-Achana na wake wa watu
-Usione sifa bwana mdogo

Acha kabla ya fedheha
Mkuu nimesikia sikuhizi ni fidia,wala hawana mpango na TIGO
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Mie napita tu.
 
Bwana bwana, Leo mwana Jf mngesikia nimechezea Koki live,

Ni mwezi tu,Toka nimehamia hapa nyumba ya kupanga,kuna Dada alitokea kunichangamkia sana,kwanza siku nafika tu alinisaidia kuingiza vyombo,pia Wakati napanga panga vifaa vyangu,akaniletea chakula cha mchana.
Basi siku zilivyozidi kwenda ikawa tunazoeana kwa kasi mpaka Hot kisses kwa sana..haha japo ni muke ya mwenyewe

Sasa jana usiku mida ya SAA nne,wakati anaenda kuoga nikamtania naomba nikakuogeshe,akaAccept offer,basi ile kazama bafuni nami pia nikazama,huku mmewe akiwa chumbani kwao.
Tukaanza Ku scratch CD kwa sana tu, ghafla Mmewe akagonga mlango kuwa nae anataka kuoga.. Hahaha aisee nilipigwa na butwaa,macho yalinitoka kuliko kawaida,
Dada inabidi amgomee,jamaa akakomaa na kuonesha msisitizo, dah Dada ikabidi amwambie maji amemaliza akachukue ndani ndoo ya maji mengine...
Kama Bahati jamaa akaenda ndani huku akijisemesha 'UNACHEZEA CHEZEA MAJI TU BILA MAANA'
mwanaume ilikuwa pona pona yangu,nlitoka kwa speed ya 'USAIN BOLT'. haha maana ningekutwa Leo ningekuwa nyama ya HAMU[emoji3] [emoji3] [emoji112] Bwana haya mambo yasikie tu kwa wengine
Mimi najiuliza nyinyi watu mnapata wapi ujasiri cha kupambana na mambo matakatifu mpaka naogopa... Sijajua imani yako ila upo hatarini.

Kuna siku Mungu atakuadhibu mkuu nakuhakikishia.
 
Basi umejiona bonge la mjanja kumchezea mke wa mtu, kumbe ndio hovyo kabisa.

Mambo mengine tujitafakari kabla ya kuyafanya!
tatizo pepo linakufanya usifikirie mbali... yule mume ana machale acheni kucheza na risk kiasi hicho kisa mkojo umekubana
 
Na wake za watu nao wapunguze mazoea na utani utani kwa vijana wasio wake zao.

Mara nyingine wao ndio huanzisha mazoea ya karibu.
 
Hivi unawezaje kumchezea mke wa mtu that much ilhali mumewe yupo arround! Yaani kwamba unamdharau jamaa kiasi hicho!? Majitu mengine bora mfir**e tuu pumbavu!
 
Utakucha poteza marinda kiboya mkuu, mari za watu sio fanya utafute chako
 
mara paaap jamaa yuko jf
mara paaap jamaa anagongewa usiku
mara paap kafungua mlango
mara paaap njemba za haja zinaingia ndani heheheheh haya mawazo haya daaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom