Wake za watu katika nyumba za kupanga.

Wake za watu katika nyumba za kupanga.

Bwana bwana, Leo mwana Jf mngesikia nimechezea Koki live,

Ni mwezi tu,Toka nimehamia hapa nyumba ya kupanga,kuna Dada alitokea kunichangamkia sana,kwanza siku nafika tu alinisaidia kuingiza vyombo,pia Wakati napanga panga vifaa vyangu,akaniletea chakula cha mchana.
Basi siku zilivyozidi kwenda ikawa tunazoeana kwa kasi mpaka Hot kisses kwa sana..haha japo ni muke ya mwenyewe

Sasa jana usiku mida ya SAA nne,wakati anaenda kuoga nikamtania naomba nikakuogeshe,akaAccept offer,basi ile kazama bafuni nami pia nikazama,huku mmewe akiwa chumbani kwao.
Tukaanza Ku scratch CD kwa sana tu, ghafla Mmewe akagonga mlango kuwa nae anataka kuoga.. Hahaha aisee nilipigwa na butwaa,macho yalinitoka kuliko kawaida,
Dada inabidi amgomee,jamaa akakomaa na kuonesha msisitizo, dah Dada ikabidi amwambie maji amemaliza akachukue ndani ndoo ya maji mengine...
Kama Bahati jamaa akaenda ndani huku akijisemesha 'UNACHEZEA CHEZEA MAJI TU BILA MAANA'
mwanaume ilikuwa pona pona yangu,nlitoka kwa speed ya 'USAIN BOLT'. haha maana ningekutwa Leo ningekuwa nyama ya HAMU[emoji3] [emoji3] [emoji112] Bwana haya mambo yasikie tu kwa wengine
Hivi hujakoma tu!!.....umeyasahau ya kule Rukwa ee??
 
Babu aliniambia pesa na wake za watu ni njia rahisi sana yakumjua mwenye tamaa,,, broo kuwa makini hakuna siri duniani
 
Siku ya kufumaniwa

1.Aibu yake hutoibeba kamwe
2. Utahama kwa aibu kubwa
3. Usipokuwa na uwezo wa ku-handle stress utajiua
4.Utarekodiwa huku ukiwa unatoa miguno ya uchungu wa TiGo pesa
5. Mwenye mke anaweza akakuua kabisa.

-Achana na wake wa watu
-Usione sifa bwana mdogo

Acha kabla ya fedheha
 
Hahahha we jamaa umenichekesha sana daa [emoji16][emoji16] sikupatii picha ulivyotoka nduki
Mkuu nilifungua Turbo balaa,nimeenda zuga shop kwa mangi mpaka mida ya SAA 4 akiwa anafunga
 
Mnatokaga wapi na wanawake malaya?
Hivi unaakili kweli kufanya ngono kiajali ajali hivi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom