Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Kwa mapenzi hayo itakua 3some inahusika

Nimeshuhudia hili. inakuwa hivi,chumba cha kulala ni kimoja. siku ya zamu mke anaingia na mashuka yake chumbani anatandika na atalala kule kwa siku tatu, zikiisha anarudi kulala na watoto mwenzake naye anaingia kuendelea na zamu. mwenye zamu ndiye anaachiwa pesa ya mboga na atahudumia kwa siku hizo tatu.
 
Kwahiyo mpaka watoto mama kaenda kupata huko na ndiyo mwanzo wa watoto kuanza kufuatilia anafuataga mama yao huko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , mie maisha hayo hapana labda aniroge kwanza lakini mpaka aniroge duu kitaeleweka tu
 
Kwahiyo mpaka watoto mama kaenda kupata huko na ndiyo mwanzo wa watoto kuanza kufuatilia anafuataga mama yao huko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , mie maisha hayo hapana labda aniroge kwanza lakini mpaka aniroge duu kitaeleweka tu

Ndio hivyo, wameshazoe hivyo na wale wanawake wanaishi kwa kupendana sana, wanapika na kula chungu kimoja. Hakuna kurogwa cha maana unatimiziwa mahitaji yako na unaishi kwa amani
 
Mmh. Kama ni ukweli hongera zao.

Mie nisingeweza sababu nawaza kwa mbali sasa kama mume anashughuluka na mke mdogo sasa huyo mwingine anakuwa anakoroma au ndio anaamka na kuangalia yanayoendelea.
 
Sema wewe Kaka. Lazima wana sababu inayowafanya wakubaliane na maisha wanayoyaishi nje ya mapenzi.

Sababu kiuhalisia hakuna mwanadamu wa hivyo yaani washirikiane hadi kitanda kwa roho gani hizo walizonazo.

Mleta uzi akafukue ukweli wa mambo na sio kumwaga sifa kumbe ni kinyume kabisa.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo mambo ya mathna,wathulatha warubaa' . khatar,sio kwa zama hizi za wivu
Umeonaeee wivu unatakiwa uwepo bana. Na hiyo huwa inasababisha ikitokea mwanaume tu ana mwanamke mbali kabisa huko na ikigundulika tu roho inaweza kupaa sasa mambo ya kulala kitanda kimoja si hatari hiyo.

Ila huenda kuna kitu amewafanyia kwa kweli sababu sio hali ya kawaida wivu ukosekane aiseee.
 
Usikute kaenda kuwatuliza kwa mganga[emoji1] [emoji1]
 
Yaani hapo kijana anafurahiaje?
Akigeuka huku raha, akipunduka huku raha.

Mziki wake upo watakapokuwa wajawazito na wajifungue wote kwa pamoja.
Atawakimbia, ila ajipange kiuchumi.
 
Hakuna maarifa hapo mkuu
Ni kukaza kwa vyuma kumefanya hali iwe hivyo!!
Ngojaaa viachie uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…