Wake wenza, nyumba moja kitanda kimoja

Kwanini hukumuuliza muhusika?
Mkuu ni vigumu sana kuhoji mtu ambaye life style yake ni ya utata.
Kwa mfano mtu anaanza safari hadi anamaliza kwa kutembea kinyumenyume!
Ukimhoji hatakupatia jibu mujarabu, maana wengine hufanya matendo bila kuwa na tafsiri yake sahihi. Bora unambie ningeliwafotoa tukaja geuzageuza picha zao jamvini.
 
Mkuu nadhani mume anakuwa na akili za ziada kuwa-control!
Maana huyo mmoja tu ni pasua kichwa akisikia bila hata ya kuona kuwa una-cheat sehemu!
 
Duhh kwahiyo usiku mke ambaye hana zamu (match) anaenda kulala sebleni au inakuwaje kuwaje hapo?
 
Moja anapigwa pipe mwingine anasubiria
 
kawazidi ujanja wake zake kawachomoa fuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…