Safi sana, ujua kwanini wanamfuata huko ndani itakuwa hali jojo, mizigo 3!?Hiyo kawaida tu pia kuna jamaa namfahamu kaoa wake wawili na anakaa nao pamoja, ingawa tofauti kidogo .
Yeye anakaa chumba chake wake zake wanakaa kila mmoja na chumba chake wanapokezana kumfata mume chumbani.kule ktk vyumba vya wake wanataka na watoto.
Pia mwingine yupo namjua kaoa watatu sasa anakomaje wanapokezana mmoja kumfata kazini miss wa kutoka ili asiende kwa hawara wanasema bora aongeze wewe wanne
Tena inanishinda asubuhi mapema kama si alfajiriWatu tupo tofauti naanzaje siwezi mimi hivyo ndoa itanishinda
Umazikini gani hizi akili zakushikiwa wako watu hata mke hawana lkn umasikini walionao hadi kulala vibarazaniChumba kimoja watu watatu? Usishangae wakizaliwa watoto bado watu wakabanana humo humo. Umasikini huu!
Nani kasema?Abiria anachunga mzgo wake
Kadri ya uwezo wake
Lakini wanakuwa na stress vichwa vyao vinakuwa sio kabisaHiyo kawaida mzee wangu alikuwa na wake saba na waliishi kwa amani raha mstarehe wakiazimana had nguo
Ukiulizwa kwa nini mnafanya hivyo ooh nampenda sana sijui ana dyudyu tamu kwakweli atapambana na dyudyu yake unafki wa hivyo siuwezi kabisaTena inanishinda asubuhi mapema kama si alfajiri
Tena hayo maisha si umasikini tu, na ujinga. Maisha gani hayo?Umazikini gani hizi akili zakushikiwa wako watu hata mke hawana lkn umasikini walionao hadi kulala vibarazani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yan mnajazana matangopori nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usikute wamerogwa haoUkiulizwa kwa nini mnafanya hivyo ooh nampenda sana sijui ana dyudyu tamu kwakweli atapambana na dyudyu yake unafki wa hivyo siuwezi kabisa
Sio kulogwa, wanazingatia mafundisho ya Nabii Tito mkuuUsikute wamerogwa hao
Ninachokiona hapo, ni kwamba hao wanawake wameamua kuishi kwa style hiyo ili tu siku ziende, huenda tu kwa sababu ya dhiki zao, na hapo walipo wanauhakika wa kuendesha maisha yao lakini sio kwa mapenzi ya dhati, nasema hivyo kwa sababu katika hali ya kawaida kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya kitu kama hicho, hata kwa mwanaume, naye atakuwa na shida kwenye ubongo wake.Hahahahha
Ninachokiona hapo, ni kwamba hao wanawake wameamua kuishi kwa style hiyo ili tu siku ziende, huenda tu kwa sababu ya dhiki zao, na hapo walipo wanauhakika wa kuendesha maisha yao lakini sio kwa mapenzi ya dhati, nasema hivyo kwa sababu katika hali ya kawaida kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya kitu kama hicho, hata kwa mwanaume, naye atakuwa na shida kwenye ubongo wake.Hahahahha
Hata mi siwezi kwa kweli uwiiii mnaweza mkawekeana sumu ivi iviNinachokiona hapo, ni kwamba hao wanawake wameamua kuishi kwa style hiyo ili tu siku ziende, huenda tu kwa sababu ya dhiki zao, na hapo walipo wanauhakika wa kuendesha maisha yao lakini sio kwa mapenzi ya dhati, nasema hivyo kwa sababu katika hali ya kawaida kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya kitu kama hicho, hata kwa mwanaume, naye atakuwa na shida kwenye ubongo wake.
Siwezi kabisa huo ujinga kama kanichoka si basi hakuna kaburi la msimbeUkiulizwa kwa nini mnafanya hivyo ooh nampenda sana sijui ana dyudyu tamu kwakweli atapambana na dyudyu yake unafki wa hivyo siuwezi kabisa
Tena ujinga wa kipeuo, umasikini wa fikraTena hayo maisha si umasikini tu, na ujinga. Maisha gani hayo?