Wake wengi

mi huwa namuona mpumbavu yule anaejua kabisa huyu mtu ana mke bt stil anakubali
 
ndoa ni watu wawili, mwenye uke na mwenye uume...au labda nitumie lugha nyepesi ndoa ni muunganiko wa nafsi mbili tu, kukiwa na ndoa ya namna hiyo basi hakuna uzinzi zaidi ya hapo ni uzinzi ...period!
Ni imani yako ambayo ni haki yako kuwa nayo. Lakini kwa wengine wana haki ya kuamini kuwa ndoa halali inaweza ya kuwa ya mke mmoja, au wengi hadi kufikia wake wanne ili mradi ilenge kukidhi mahitaji muhimu. Mfano mdogo wa kudhihirisha kudhihirisha Falsafa ya jambo hilo hebu fikiria mume ameoa mke lakini baada ya miaka fulani mke anapatwa na tatizo linalomfanya asiweze kujamiiana abadan, ama kukosa uzazi kabsaa. ili kujizua asizini na mume kwa mujibu wa sheria za kidini, ana ruksa ya kuongeza mke mwingine ili pia aweze kuongeza uzao wake.
 
kwa nini mwanamume wa kwanza kuumbwa alikabidhiwa mwanamke mmoja tu na si vinginevyo?
 
Tuambiane ukweli wake wengi starehe yake.............. matatizo yake .................

Wanaume wengi wa kipindi hiki, mchumba au mke mmoja tu anamsumbua na utakuta anachanganyikiwa kweli kweli mpaka anabandika matangazo...kwa ndugu..marafiki...n.k

Sasa basi, kuweza ku-manage wanawake zaidi ya mmoja simultaneously ...ahhhh...it takes a village

Ni imani yako ambayo ni haki yako kuwa nayo. Lakini kwa wengine wana haki ya kuamini kuwa ndoa halali inaweza ya kuwa ya mke mmoja, au wengi hadi kufikia wake wanne ili mradi ilenge kukidhi mahitaji muhimu. Mfano mdogo wa kudhihirisha kudhihirisha Falsafa ya jambo hilo hebu fikiria mume ameoa mke lakini baada ya miaka fulani mke anapatwa na tatizo linalomfanya asiweze kujamiiana abadan, ama kukosa uzazi kabsaa. ili kujizua asizini na mume kwa mujibu wa sheria za kidini, ana ruksa ya kuongeza mke mwingine ili pia aweze kuongeza uzao wake.

Hiyo ni kweli hapo kwenye underline lakini angalia hapa:
Suratul An - Nisaa aya ya tatu: 'Basi oeni ... na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya UADILIFU, basi (oeni) mmoja tu'. Baadhi ya wanazuoni wasisitiza kuwa, kwa mujibu wa Qur'an Tukufu, hakuna mume atakayefuta kwa DHATI sharti la UADILIFU linaloweza kumfanya aoe zaidi ya mmoja.
 
mi huwa namuona mpumbavu yule anaejua kabisa huyu mtu ana mke bt stil anakubali

Swala si kumuona mpumbavu bali ni hali ya kidunia kuna watu ambao madhehebu yao yanaruhusu kuoa hadi wake wanne, ukweli ni kwamba wanawake walio wengi wanaangalia maslahi zaidi na sio mapenzi, hata hivyo kuna maeneo nchini Tanzania ambayo swala la uke wenza ni la kawaida, labda tujiulize kule kwa wenzetu ulaya na marekani watu wanaoa wake zaidi ya mmoja?
 
Kwa nchi hii ninayoishi mimi(Western Europe ) endapo utagundulika umeoa mke zaidi ya mmoja adhabu yako ni jela miaka minne bila kujali kama imani ya dini yako inakuruhusu au la..Kama unataka biashara ya ukewenza siju umewenza hukohuko kwenu...
 
Tunapinga huku tukirasimisha mmoja wakati huohuo vidosho kibao! Si sawa tu na kuwa na wake wengi? Kwangu ni raha kichizi na bado mate yananidondoka, ila sijui kwa wengine wanahisi vipi au kulingana na concepts ambazo zimetia ganzi hisi zao za matamanio. Kula ni kula tu mradi usishikwe au kukomba mboga
 
Kwa nchi hii ninayoishi mimi(Western Europe ) endapo utagundulika umeoa mke zaidi ya mmoja adhabu yako ni jela miaka minne bila kujali kama imani ya dini yako inakuruhusu au la..Kama unataka biashara ya ukewenza siju umewenza hukohuko kwenu...

Western Europe sawa lakini katika Marekani kuna madhehebu yanayoruhusu mtu kuoa wanawake idadi aitakayo kulingana na hali yako kiuchumi, Madhehebu yanayoitwa MORMAN katika jiji la Salt Lake huko Utah madhehebu ambayo yameingia Tanzania kwa jina la Later Days Saints wao wanakuruhusu mradi uwe na uwezo wa kuwahudumia madhehebu mengine yanayoitwa Quacker wao pia wanaruhusu.
 
Wow,this is new to me,sikujua kama madhehebu hayo yako hivyo,
 
mbona mfalme suleman alikuwa nao kibao?

Je utajifananisha na mfalme Suleiman? Huyu ni mtu tofauti kabisa ....... pamoja na kuoa wake wengi pia alikuwa na utajiri wa kupindukia kuliko binadamu yoyote duniani ........... lakini baadaye alikiri kwa kusema yoooooooote ni ubatili chini ya jua ukitaka kupata historia yeke soma kitabu cha Muhubiri katika Bible

Jamani mbona hamtutende haki sie ambao dini yetu inaturuhusu kuwa na wake zaidi ya wawili wa ndoa? Mbona mwenda mbali na kututusi eti sie washelati? Washelati nyie msioa kazi kuchombeza wake mia nyumbani yupo mmoja. Asaghafullullah walai?
 
Na mwanamke mmemweka fungu lipi katika kuongeza uzao wake iwapo mwanaume atakuwa na matatizo hayo
Ni imani yako ambayo ni haki yako kuwa nayo. Lakini kwa wengine wana haki ya kuamini kuwa ndoa halali inaweza ya kuwa ya mke mmoja, au wengi hadi kufikia wake wanne ili mradi ilenge kukidhi mahitaji muhimu. Mfano mdogo wa kudhihirisha kudhihirisha Falsafa ya jambo hilo hebu fikiria mume ameoa mke lakini baada ya miaka fulani mke anapatwa na tatizo linalomfanya asiweze kujamiiana abadan, ama kukosa uzazi kabsaa. ili kujizua asizini na mume kwa mujibu wa sheria za kidini, ana ruksa ya kuongeza mke mwingine ili pia aweze kuongeza uzao wake.
 
Kunya anye bata, kwanini hivi vidongo mnawapiga waislamu tu. Kuna makabila mengi yanaruhusu wake wengi ikiwemo wamasai.

Huko america kuna wale wanajiita yearning for zion (YFZ) pia nao mchezo ni huu nao ni wakiristu

Hamuoni kama ni double standard hizi
 
Back
Top Bottom