Wake wengi

Bora muwe kama mimi! Single and without stress. Later utakuja kujiuliza tuko wangapi na by that time it will be too late. So to conclude ni bora basi kama huwezi kujizuia kuwaka tamaa, oa au olewa na mmoja tu. Acheni mapenzi ya rejareja.
 
Ngoja Asprin aamke aje atuelimishe.
Mimi nataka kujua faida ya waume wengi, plz
1. Uhakika wa huduma 24/7*365 (Hamna kizuizi sijui cha uzazi au kwenda kwenye unajimu)
2. Uwezekano wa kupiga threesome (kwenda na wakati na utii wa sheria bila shuruti)
3. Kupata ladha tofauti wakati wowote bila kutongoza
4. Kusevu cost ya kuvihonga visista duu kama CUTE, charminglady ummu kulthum, Catherine, Blue G et el
5. Kupata sababu kwa urahisi zaidi za kufanya kazi za chama (Hapa Kaizer, Teamo, Fidel80, Bigirita, Kimey, RR na GY watakuwa wananielewa vizuri)

Need I say more au niwaachie wanachama wenzangu waje wataje zilizosalia?
 
Last edited by a moderator:

Faida ya wake wengi....
Kama hutaki 'usumbufu', unatoka kwa Mwa j unaaga waenda kwa Aisha, ukifika kwa Aisha unaaga Mwa j.....halafu unasepa kwenda kukesha kwa biya!
 
1. Uhakika wa huduma 24/7*365 (Hamna kizuizi sijui cha uzazi au kwenda kwenye unajimu)
2. Uwezekano wa kupiga threesome (kwenda na wakati na utii wa sheria bila shuruti)
3. Kupata ladha tofauti wakati wowote bila kutongoza
4. Kusevu cost ya kuvihonga visista duu kama CUTE, charminglady ummu kulthum, Catherine, Blue G et el
5. Kupata sababu kwa urahisi zaidi za kufanya kazi za chama (Hapa Kaizer, Teamo, Fidel80, Bigirita, Kimey, RR na GY watakuwa wananielewa vizuri)

Need I say more au niwaachie wanachama wenzangu waje wataje zilizosalia?
We sema tu mpaka yote yaishe au ya uwongo hayo usemayo Asprin?
kwani we si ndo umepewa hilo chaka na King'asti?
 
Last edited by a moderator:
1. Uhakika wa huduma 24/7*365 (Hamna kizuizi sijui cha uzazi au kwenda kwenye unajimu)
2. Uwezekano wa kupiga threesome (kwenda na wakati na utii wa sheria bila shuruti)
3. Kupata ladha tofauti wakati wowote bila kutongoza
4. Kusevu cost ya kuvihonga visista duu kama CUTE, charminglady ummu kulthum, Catherine, Blue G et el
5. Kupata sababu kwa urahisi zaidi za kufanya kazi za chama (Hapa Kaizer, Teamo, Fidel80, Bigirita, Kimey, RR na GY watakuwa wananielewa vizuri)

Need I say more au niwaachie wanachama wenzangu waje wataje zilizosalia?
namba 3 kiboko kha!
 
hakuna lisilo na faida wala hasara, walaji wa hiyo bidhaa wanaweza wakatueleza tu. 11-1=1
 
1. utapata mikunjo tofauti tofauti, style tofauti na ladha tofauti zisizoisha hamu.....
2. utapata macare ya hali ya juu mchanganyiko....
3. utadeka utakavyo
4. ukiwa na malengo kama Natalia, ujue wallet yako haitokauka feha za madafu na madorali, tanki la mafuta mshale utakua kwenye F always na shopping hadi uote vigimbi vya miguu.....
5. stress free zone, maana mmoja akikuboa unageuka kwa mwingine, tupa huyu vuta yule
6. kuchagua mbegu ya mtoto unayetaka kuwa nae, pale utakapohitaji
7.
8.

nitarudi

Ngoja Asprin aamke aje atuelimishe.
Mimi nataka kujua faida ya waume wengi, plz
 
Last edited by a moderator:
1. utapata mikunjo tofauti tofauti, style tofauti na ladha tofauti zisizoisha hamu.....
2. utapata macare ya hali ya juu mchanganyiko....
3. utadeka utakavyo
4. ukiwa na malengo kama Natalia, ujue wallet yako haitokauka feha za madafu na madorali, tanki la mafuta mshale utakua kwenye F always na shopping hadi uote vigimbi vya miguu.....
5. stress free zone, maana mmoja akikuboa unageuka kwa mwingine, tupa huyu vuta yule
6. kuchagua mbegu ya mtoto unayetaka kuwa nae, pale utakapohitaji
7.
8.

nitarudi
Duh!!!!
Aseeeee!!!:croc:
 
Hakuna faida yoyote.Hata siku moja penzi haligawanyiki.Na hakuna mwanamke hata mmoja ambaye huwa anafurahia ukewenza.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom