Wake wengi

Wake wengi

Haya mambo hayana udini...mimi nimekaa sana na makabila yanayoruhusu wake wengi...na mziki wake ulikuwa si mdogo. Waulize wakurya mfano...Sana sana mume akijitahidi basi ata provide material things....mapenzi sikjuhi kulala ni kwa mama mdogo in most cases.
 
Na kama suala ni kila mwenye uwezo awe na wanawake wengi ...kuwasaidia wasiwe vyangudoa...mbona watoto wa Wafalme wa huko Saudia hawana wake wengi? Watu walishashtuka...mara kumi wanaooa na ku divorce kuliko kuwarundika ndani.
 
Nina marafiki zangu wengi toka Malaysia...na ni watu wa swala 5 and they dont even think about it.
 
wanaume bana....

Kumridhisha mwanamke mmoja tu kazi lakini mnajifanya vidume kuwa na wanawake wengi loh...... Ndo maana kazi za nje haziishi

Mbona 'wengine' wanaweza kuwa na wanne? Aidha imehalalishwa!
 
Western Europe sawa lakini katika Marekani kuna madhehebu yanayoruhusu mtu kuoa wanawake idadi aitakayo kulingana na hali yako kiuchumi, Madhehebu yanayoitwa MORMAN katika jiji la Salt Lake huko Utah madhehebu ambayo yameingia Tanzania kwa jina la Later Days Saints wao wanakuruhusu mradi uwe na uwezo wa kuwahudumia madhehebu mengine yanayoitwa Quacker wao pia wanaruhusu.
 
Na kama suala ni kila mwenye uwezo awe na wanawake wengi ...kuwasaidia wasiwe vyangudoa...mbona watoto wa Wafalme wa huko Saudia hawana wake wengi? Watu walishashtuka...mara kumi wanaooa na ku divorce kuliko kuwarundika ndani.

Hebu niambie hao wafalme wa Saudia, yupi aliyeweka mke wake au wake zake hadharani kujua idadi yao?
 
Hoja yako ina nguvu sana ndugu Mpitagwa. Mikataba wa mke mmoja ni mikataba ya kinafiki sana; ni mara chache sana mikataba hii inakuwa wa ukweli kwa sababu ni mikataba inayotokana na utashi wa akili; nakuapia utashi wa akili una nguvu ndogo sana unapoulinganisha na utashi wa ile sehemu. Ile sehemu haina akili, haitaki akili, wala haitaki mikataba ya mke mmoja. Unakumbuka raisi wa Marekani Bill Clinton alimfanya nini yule dogo wa miaka ishirini na kitu kule ndani ya ofisi ya rais wa marekani? Hiyo ndo akili ya ile sehemu sasa... Mke mmoja? unafiki mkubwa.... Na hivi vitoto vya miaka ishirini na kitu ndo vibaya mno yaani.... Mke mmoja? Ha!!! Unafanya utani nini?!

Jamani mbona hamtutende haki sie ambao dini yetu inaturuhusu kuwa na wake zaidi ya wawili wa ndoa? Mbona mwenda mbali na kututusi eti sie washelati? Washelati nyie msioa kazi kuchombeza wake mia nyumbani yupo mmoja. Asaghafullullah walai?
 
hivi kumbe kunakua na starehe ee!mimi ninachojua ni kujiongezea majukumu.
 
Falsafa ya "kujiongezea majukumu" we unaitumia hapa kwa maana ipi; kwamba kitendo cha kujiongezea majukumu uwe misingi ya kukataa wake wengi? au umetaka kuitumiaje falsafa hii? Najua bado hujajibu swali, lakini naomba nifanya swali liwe limefungwa upande fulani kukulazimisha kutizama upande ninaoutizama mimi.

Ukizaa mtoto unajiongezea majukumu. Tuache kuzaa? Tendo lenyewe la kuleta binadamu wapya duniani ni aina fulani ya kujiongezea kazi na majukumu ukitizama nguvu inayotumika na wahusika wote wawili kutoka mwanzo hadi binadamu anatokea. Je tuache shuhuli hii kwa sababu ni kujiongezea majukumu? Wake wengi ni kujiongezea majukumu kwa maana ipi....?

hivi kumbe kunakua na starehe ee!mimi ninachojua ni kujiongezea majukumu.
 
ndoa ni watu wawili, mwenye uke na mwenye uume...au labda nitumie lugha nyepesi ndoa ni muunganiko wa nafsi mbili tu, kukiwa na ndoa ya namna hiyo basi hakuna uzinzi zaidi ya hapo ni uzinzi ...period!

Hivi baba yetu wa imani Ibrahim halioa wake wangapi?...david wangapi?....suleman wangapi?.....luth wangapi?...moses wangapi?....! Kitabu gani kimesema mke moja tu! ukiondoa kuluani ambayo inafahamika ....wengine sie tupotupo tu! yani uje kwa wakuriaa na kamke kamoja??????????
 
Hoja yako ina nguvu sana ndugu Mpitagwa. Mikataba wa mke mmoja ni mikataba ya kinafiki sana; ni mara chache sana mikataba hii inakuwa wa ukweli kwa sababu ni mikataba inayotokana na utashi wa akili; nakuapia utashi wa akili una nguvu ndogo sana unapoulinganisha na utashi wa ile sehemu. Ile sehemu haina akili, haitaki akili, wala haitaki mikataba ya mke mmoja. Unakumbuka raisi wa Marekani Bill Clinton alimfanya nini yule dogo wa miaka ishirini na kitu kule ndani ya ofisi ya rais wa marekani? Hiyo ndo akili ya ile sehemu sasa... Mke mmoja? unafiki mkubwa.... Na hivi vitoto vya miaka ishirini na kitu ndo vibaya mno yaani.... Mke mmoja? Ha!!! Unafanya utani nini?!

niambie nilazima kuoa wake wengi? kwa mfano uwezikuwaudumia inakuaje?
 
niambie nilazima kuoa wake wengi? kwa mfano uwezikuwaudumia inakuaje?

Swali lako lina utata kdogo mkuu, hapo kwenye red. Sidhani kama kuna mtu anayelazikima kuoa mke mmoja au wengi. Nadhani neno la kujadili hapo liwe kushawishika. Je mtu anaweza kushawishika kuoa wake wengi? Tukishaafikiana kwenye hilo neno, sasa ndio tutahamia kwenye swali lako la pili ambao unauliza "uwezi kuwahudumia inakuwaje?"
 
Tuambiane ukweli wake wengi starehe yake.............. matatizo yake .................

Mke ni mke na wakiwa zaidi ya mmoja huitwa wake. Matatizo ya mke yako tofauti na kwa alienao wengi yanakuwa mara ya idadi ya wake alionao . Hivyo hivyo kwa upande wa raha.
 
Hoja yako ina nguvu sana ndugu Mpitagwa. Mikataba wa mke mmoja ni mikataba ya kinafiki sana; ni mara chache sana mikataba hii inakuwa wa ukweli kwa sababu ni mikataba inayotokana na utashi wa akili; nakuapia utashi wa akili una nguvu ndogo sana unapoulinganisha na utashi wa ile sehemu. Ile sehemu haina akili, haitaki akili, wala haitaki mikataba ya mke mmoja. Unakumbuka raisi wa Marekani Bill Clinton alimfanya nini yule dogo wa miaka ishirini na kitu kule ndani ya ofisi ya rais wa marekani? Hiyo ndo akili ya ile sehemu sasa... Mke mmoja? unafiki mkubwa.... Na hivi vitoto vya miaka ishirini na kitu ndo vibaya mno yaani.... Mke mmoja? Ha!!! Unafanya utani nini?!

Nakuomba isome tena hoja yako hapo kwenye rangi ..... Ina maana wote waliooa mke mmoja ni wanafiki? tena unasema wanafiki sana! unasema utashi wa akili una nguvu ndogo sana. mambo ya Bill Clinton nawengine ni katika muendelezo huo huo wa tamaa zisizokuwa na msingi, nazungumzia wake wengi sio akina Clinton wanaofanya uharibifu kwa kila binti anayepita mbele yako unatamani kwa kisingizio mke mmoja hatoshi
 
Naona we bwana unataka kuleta filosofia kwenye mambo ya vyumbani. Hebu nikuache tu maana hatutaelewana. :yo:
 
katika hilo ni kuendekeza uzinzi hebu pata picha unawake wanne kila mmoja anataka huduma yako mapumziko lini, hali ya kiuchumi, muongezeko wa familia una mashemeji, wakwe wangapi, wajomba pande zote za kikeni na kiumeni ukweli ni kwamba uke wenza ni maumivu

Kwani kuna shida gani mkuu pilau? Ukiwa na wake let say wanne wa ndoa, na ikatokea kuwa wakwe wote wako hai, ina maana utakuwa na wakwe nane (8) I mean: mama wakwe na baba wakwe; Ukikwama kidogo financially, wakwe wanaweza kupiga tafu kidogo au siyo?
 
Last edited by a moderator:
Na kama suala ni kila
mwenye uwezo awe na wanawake wengi ...kuwasaidia wasiwe
vyangudoa...mbona watoto wa Wafalme wa huko Saudia hawana wake wengi?
Watu walishashtuka...mara kumi wanaooa na ku divorce kuliko kuwarundika
ndani.

Wacha bwana!
 
Back
Top Bottom